mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Picha wapiHuko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo linalofumgamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?
Kwenu wadau
Huyo RC ni kama amemwagia mafuta moto, angenyamaza kimya yapiteHuko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo linalofumgamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?
Kwenu wadau
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa

Mpuz sana huyo RCMkuu wa mkoa anatisha wananchi kuhamia mkoa mwengine?.
Huu ni ujinga wa kiwango cha SGR lot ya Tabora hadi Kigoma, mpaka huko Musongati Burundi.
Bila shaka wewe ndo mkuu wa mkoa au msaidizi wakeItakuwa Tabora ya nyumbani kwenu!
Hivi mama ameanza kuchezea national symbols??🤔🤔🤔🤔Ana muda wa kutosha miezi miwili ya kufanya kampeni kwa nini wameweka picha yake kwenye mwenge wa uhuru usiofungamana na chama cha siasa
CCM wanajizima dataAna muda wa kutosha miezi miwili ya kufanya kampeni kwa nini wameweka picha yake kwenye mwenge wa uhuru usiofungamana na chama cha siasa
Hana kabisa Mvuto wa kisiasa.Huyo mama hakubaliki na alichoharibu ni watu kuuwawa sana na kutekwa chini ya utawala wake.
Bila picha /video hii habari ni fake!Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?
Kwenu wadau
Kumekucha!!Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais