Basi Kuna minyumbu itakuja mbio kushangilia hili wakidhani kuwa ni kweli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais
Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?
Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?
Kwenu wadau
Wana akiliNi kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?
Jibu hoja wewe mwendawazimuBasi Kuna minyumbu itakuja mbio kushangilia hili wakidhani kuwa ni kweli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ama kweli Kuna wahuni wamedhamilia kwa dhati kabisa kuwahangaisha hawa manyumbu aisee. Hawana hata huruma.
Mtoa mada alikuwa anafanya utafiti tu wa kiwango Cha unyumbu walichofikia hawa manyumbu ya lissu. Nina uhakika mtoa mada huko aliko anacheka kinoma kuiona minyumbu inavyokuja mbiombio isijue inakimbilia nini 🤣🤣🤣Picha tafadhali bila hivyo ni unafiki
Kuna hoja gani kwani inayoendelea?!!! Kama, kabisa, Kuna hoja umeiona hapa basi kapime fistula ndugu yangu. Haki ya nani tena.Jibu hoja wewe mwendawazimu
Mwenge uliwashwa mapema sana kabla ya muda wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu,maana yake SSH anafanya kampeni zake na Chama chake kwa kutumia Mwenge wa Uhuru?Je,Tume inayoitwa Huru ya Uchaguzi bado ni Huru kweli?Ana muda wa kutosha miezi miwili ya kufanya kampeni kwa nini wameweka picha yake kwenye mwenge wa uhuru usiofungamana na chama cha siasa
1Mambo 5 yanayomtafuna Samia ni:-Huyo mama hakubaliki na alichoharibu ni watu kuuwawa sana na kutekwa chini ya utawala wake.
Tupe picha ya mwenge kwa Sasa! Lakini, mbona walishiriki Nane Nane?pasipo picha za awaye yote?
Wacha liwakute jambo ndo watajua