Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

Tetesi: Wananchi wa Tabora wakataa kupokea mwenge ulionakshiwa na picha ya Rais Samia

Huko Tabora, mkuu wa mkoa acharuka kuwatishia wananchi kuhama kwenye mkoa huo kisa kukataa mwenge ulio na picha ya Rais

Hii inaleta maana gani kwa Wananchi kuanza kukataa jambo la kitaifa, sababu tu linafungamanishwa na siasa za ccm?

Ni kwamba, Rais hakubaliki sasa...! Ama wanataka kuona Mwenge ukijitambulisha wenyewe pasipo picha za awaye yote?

Kwenu wadau
Nembo yoyote ya taifa inapokuwa na picha ya mtu ujue hiyo imepokwa, si nembo ya taifa tena, achana nayo.
Mwenge wa taifa hauna picha ya mtu yoyote akiwa mfu au hai, hivyo huo mwenge wenye picha ya mtu haulindwi na sheria za nchi hivyo hao wananchi walikuwa na hski kuuzima na kudai mwenge unaolindwa kisheria.
 
Back
Top Bottom