Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Mimi naona hasira za hao wananchi zimeishia tu sehemu ambayo sio sahihi. Hao wataalam wao wana kosa lipi? Wao walienda tu kupima hiyo mipaka.Inaonekana kuna uonevu ulikua unafanywa na hao wapimaji ndo maana watu wakaamua kufanya yao
Kosa kubwa sana hili, inaonekana walichukulia poa au hawakuwa wanajua hali halisi.Sehemu yenye mgogoro ilikuaje hao wapima ardhi kwenda bila ya kua na ulinzi?
Hao ni chadema?Wananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi waliokua kwenye hilo zoezi wamejeruhiwa vibaya, japokua hakuna kifo kilichorpotiwa hadi sasa.
View attachment 1885041View attachment 1885043View attachment 1885046View attachment 1885047
Hii inaweza kuwa-cost sana.Duh, wameenda mbali zaidi, akili haikutumika, jela inawasubiri. Ujinga una gharama kubwa
Sidhani kama ni wanachama wa chama fulani... Naona kikubwa kinachowaunganisha ni huo mgogoro wa ardhi na sio vyama vya kisiasa.Hao ni chadema?
Kule Burundi kulianza hivi hiviHii inaweza kuwa-cost sana.
Inawezekana pia....!!Kuna harufu ya rushwa na upande mmoja kudharauliwa na hao wataalamu wabobezi wa milungula.
Tuko kwenye Autopilot, hatuna Kiranja mkuu wala Headmaster, ngoja tupige kelele darasani, monitor akileta kihere here ndo kama hivyo!
Maza anakula biriyani magogoni mlimba panawaka motoSidhani kama ni wanachama wa chama fulani... Naona kikubwa kinachowaunganisha ni huo mgogoro wa ardhi na sio vyama vya kisiasa.
Kuna watu wenye hasira walichoma kituo cha Polisi - Bunju DSM... kama masihara sasa watumikia kifungo cha maishaHii inaweza kuwa-cost sana.
Lazima atakua keshapewa briefing tayari...!Maza anakula biriyani magogoni mlimba panawaka moto