Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
- Thread starter
- #41
Mkuu unadhani watakamata kwa utaratibu...? Wataingia kjijijni kwa nguvu na kubeba kila wanaekutana nae mbele ya macho yao.Utakamata wangapi kwa matokeo hayo hiyo ilikuwa ni mob war labda wajitutumue kwa mamlaka yao kukamata yeyote ila kikubwa ni sheria zifuatwe kati ya wawekezaji,maafisa ardhi na wananchi.