peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
IGP Yuko busy na chademaLazima atakua keshapewa briefing tayari...!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IGP Yuko busy na chademaLazima atakua keshapewa briefing tayari...!
Inategemea wataalamu waliingia na lugha gani,unaweza kuta hata mwenyekiti wa kijiji hakujulishwa,wanakijiji wana lugha zao hasa ikizingatiwa kwamba kuna mgogoro,Mimi naona hasira za hao wananchi zimeishia tu sehemu ambayo sio sahihi. Hao wataalam wao wana kosa lipi? Wao walienda tu kupima hiyo mipaka.
Japokua pia nadhani ni muhimu kwenye ishu kama hii, wakienda next time waende na ulinzi wa polisi wenye silaha za kutosha.
Ni kweli. Japokua unaweza kuta huyo mwenyekiti wa kijiji pia yupo upande wa wanakijiji, maana na yeye ni mwanakijiji.Inategemea wataalamu waliingia na lugha gani,unaweza kuta hata mwenyekiti wa kijiji hakujulishwa,wanakijiji wana lugha zao hasa ikizingatiwa kwamba kuna mgogoro
DC yupo, DED yupo, OCD yupo wote wanazingizia wananchi hawana matatizo huko Mlimba. Mlimba Kuna matatizo makubwa,badala ya kwenda kuwasikiliza wananchi watatumwa polisi kuwakamata.Lazima atakua keshapewa briefing tayari...!
Umeongea point za msingi.DC yupo, DED yupo, OCD yupo wote wanazingizia wananchi hawana matatizo huko Mlimba. Mlimba Kuna matatizo makubwa,badala ya kwenda kuwasikiliza wananchi watatumwa polisi kuwakamata. Wananchi ni vichaa kwenda kuchoma magari moto? Iundwe time kuchunguza tukio hilo. Sio kuanza kamata kamata mkifanya hivyo mlimba nyumba zitabakia na yatima wananchi watatimkia mikoani serikali itaanza kupeleka misaada ya kwenda kutunza teza raia.
Kweli kabisa. Nakubaliana na wewe.Wananchi hawawezi kukurupuka from no where na kushambulia maafisa ardhi na kuchoma magari yao bila sababu za msingi. Hapo lazima kuna kitu ni vyema wananchi wakapewa fursa ya kusikilizwa badala ya kuwapiga virugu na kuwakamata
Duuuhhh......!! Kivipi tena mkuu? Kazi nzuri kuharibu mali? Hii itasaidia kupata suluhu ya tatizo la msingi?Safi sana kazi nzurnzuri
Kafie mbele!Uonevu ukizidi serikali kwa wananchi matokeo yake ndiyo haya.Trust me , punde si punde kuna majitu yatalia na kusaga meno fasi ya mlimba wamechoma ndinga ya serikali, bodaboda ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania na tripod stand ya serikali pia wamewadunda watumishi wa umma wakiwa wanatimiza majukumu yao
Ni hatua wameonyesha uthubutu, kesho watafanya maamuzi ya kuachana na chama cha wapumbavu kinachoongoza nchiDuuuhhh......!! Kivipi tena mkuu? Kazi nzuri kuharibu mali? Hii itasaidia kupata suluhu ya tatizo la msingi?
Hapo kijiji kinahamia msituni kujificha 😂Trust me , punde si punde kuna majitu yatalia na kusaga meno fasi ya mlimba wamechoma ndinga ya serikali, bodaboda ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania na tripod stand ya serikali pia wamewadunda watumishi wa umma wakiwa wanatimiza majukumu yao
Ni kweli kabisa. Wawekezaji wa ardhi inabidi kufanya jitihada za kuwahusisha wanakijiji wanaopakana nao kwenye mipango mbalimbali ya ardhi wanazomiliki, itasaidia kupunguza migogoro ya aina hii.Hawa wanaoitwa wawekezaji hasa uwekezaji wa ardhi wanatakiwa wakati wote wawasikilize wanachokitaka wananchi waliopakana nao,mambo kama haya unakuta muwekezaji kwa sababu anajuana na mkurugenzi wa wilaya au ana vishoka wake kwenye halmashauri anaamua kujikatia pande la ardhi wakilalamika wananchi wanaambiwa watulie hawayajui matumizi ya ardhi mwisho yanatokea haya.
Mungu wanguWananchi wenye hasira wamewashambulia watumishi wa Ardhi kutoka wilaya ya Mlimba na kuchoma magari, pikipiki pamoja na vifaa vyao vingine wakati wakiendelea na zoezi la uhakiki wa mipaka ya mashamba yanayogambaniwa na muwekezaji na wananchi wilaya ya Mlimba, Morogoro.
Watumishi wa ardhi waliokua kwenye hilo zoezi wamejeruhiwa vibaya, japokua hakuna kifo kilichorpotiwa hadi sasa.
View attachment 1885041View attachment 1885043View attachment 1885046View attachment 1885047
Utakamata wangapi kwa matokeo hayo hiyo ilikuwa ni mob war labda wajitutumue kwa mamlaka yao kukamata yeyote ila kikubwa ni sheria zifuatwe kati ya wawekezaji,maafisa ardhi na wananchi.Duh, wameenda mbali zaidi, akili haikutumika, jela inawasubiri. Ujinga una gharama kubwa
Wanabaki wanawake na watoto tu.Hapo kijiji kinahamia msituni kujificha 😂