Wananchi wa wilaya ya Mlimba, Morogoro wachoma magari na vifaa vya wapima ardhi

Kuna wale walichoma Gari la Ardhi kule Dodoma na kuua wale wataaalam kwa kisingizio cha Wanyonya damu. Aysee walijuta mpaka leo Kijiji kizima wamebaki na makovu watalipa hizo gari mara tatu yake
Walikuwa wanyonya Damu mkuu
 
Duh, wameenda mbali zaidi, akili haikutumika, jela inawasubiri. Ujinga una gharama kubwa
Unawatisha na jela

Kwanini haulizi chanzo nini?
Wananchi wanataka haki itendeke sasa mkuu wa wilaya anashindwa kutoa mamuzi kisa elimu ya kazi inayohitajika hana ila unakuta mkuu wa wilaya ni kada wa ccm sasa migogoro hiyo itaisha lini ?

Leta katiba mpya watu waombe kazi zao
 
Hata wewe una udikteta ujue
 
Mbuzi wa bwana heri kila kitu heri , ingekua yule mbunge wa chama kile ndio yupo ungesikia TU magaidi sijui nini , yani watu hawana aibu
 
Jamani,kama ulizaliwa mjini (urban) mshukuru Sana MUNGU,kama ulizaliwa vijijini(rural area) omba hekima na busara kwa mwenyezi MUNGU
 
wananchi wa eneo husika walishirikishwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…