Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Haya ndio huwa matokeo yake......ukishatengeneza hasira zinazotokana na kunyimwa haki mambo kama haya hutamalaki kwa wingi
Na kwa sababu wameona wakifanya movement za haki za wazi wanakamatwa saivi wanafanya movement za kimya kimya tena bila kula njama na watu wengi.

Mwananchi wa kawaida tu anajinunulia dumu la mafuta ya taa akiwa peke yake anaenda zake kwenye nyumba ya mtu wa CCM anafanya yake.

Ccm walitaka tufike huku. Sasa wanatufikisha.
 
Utaipiganiaje kama vitu vidogo kama kuchoma Mali za wezi wa taifa unaogopa
Wamegundua hii ndo njia nyepesi ya kuwakomoa CCM ambao hawataki mabadiliko ili Wananchi waondokane na huu umaskini wa kutisha.
 
Waliochoma watakamatwa. Na wakikamatwa, msije humu kulialia.
 


Hii ndiyo lugha pekee ambayo CCM wanaweza kuielewa. Mtetea haki mmoja akitekwa, dhulumati wawili wa CCM watekwe.

Polisi wakimpoteza mtafuta haki mmoja, wanafamilia wawili wa polisi wapotee. Hapo haki utapatikana.
 
Hii sio Fabrication ili kuleta hisia kwamba Siasa za Upinzani ni za Vurugu hivyo Tunazuia Shughuli zote za kisiasa kulinda amani??
 
Inside Job.....mwaka wa uchaguzi huu.
 
Hii sio Fabrication ili kuleta hisia kwamba Siasa za Upinzani ni za Vurugu hivyo Tunazuia Shughuli zote za kisiasa kulinda amani??
Inawezekana pia, hawa jamaa CCM wana upumbavu mwingi sana mfano jinsi wanavyowatumia hao G55 unaona kabisa ndani ya CCM kuna uovu mwingi sana so wanafanya hivyo kuhakikisha wana stabilize situation ila naona wananchi pia wame erevuka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…