pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,680
- 6,382
Yalishafanyika kama hayo na zaidi ya hayo, ila waliishia kupewa kesi za ugaidi na hata hawa watapewa kesi za ugaidi tu,Tunaopekea ni pazuri. Uzuri wa hii movement inafanywa na Wananchi tena kimya kimya so huwezi ihusisha na Viongozi.
Wananchi wamegundua tu njia bora ya kuwalazimisha CCM kukubali mabadiliko
Kwanini sijielewi?Kama unaishi tanzania itakua hujielewi
Wakati Makaburu walivyowakamata na kuwafunga Wapigania Uhuru wa Afrika Kusini, wananchi wa Afrika kusini waliona isiwe tabu na kuanza kufanya mission za kimyakimya kuwaangamiza Ma puppet wa Makaburu.
Moja ya mbinu zikizofanywa na Wananchi wa Afrika kusini ni kuharibu na kuchoma mali za na puppet wa Makaburu kimyakimya bila maandamano wala kelele.
Makaburu walianza kushtuka tu kuona moles wao wanachomewa nyumba zao, magari yao na wengine kuuwawa kimyakimya.
Mwisho Makaburu waliona isiwe tabu Wakamuachia Mandela n kufanya Uchaguzi Huru na wa Haki wa Kwanza Afrika Kusini ambapo Nelson Mandela alishinda na kuwa Rais.
Asanteni sana Wananchi wa Mbeya. Mwendo ndo huu. Ni kimya kimya. Bila kelele.
View attachment 3312038View attachment 3312039
Tutawaonesha safari hiiYalishafanyika kama hayo na zaidi ya hayo, ila waliishia kupewa kesi za ugaidi na hata hawa watapewa kesi za ugaidi tu,
Hakuna wa kushindana na serikali inchi hii, bado sana, wengi wenu waoga tu
Wajifunze kwa mtoto mdogo tu TraoreMabakabaka nao wamelala sana🤣🤣🤣
Sawa. Sisi Wahaya tuna msemo usemao, "Akashengo akatali kawe kashemera"!. Maana yake, "msala usio wako huburudisha"!Uzuri movements za wananchi hazinaga ukomo.
Kwa hiyo CCM ndo mmewaua Saanane, Soka, Kibao na wengineo wote wanaopotea na kuuwawa. Asante sana. Hii comment yako tutailaminate kabisa na kuitumia wakati sahihi.Sawa. Sisi Wahaya tuna msemo usemao, "Akashengo akatali kawe kashemera"!. Maana yake, "msala usio wako huburudisha"!
Wewe unafurahi hao jamaa wamechoma gari. Ni sawa kwako na unashadidia. Siku wakikamatwa, utarudi unasema wameonewa, wameonewa. Watahukumiwa na kufungwa.
Wazazi wao, wake au waume zao, watoto wao ndugu, jamaa na marafiki zao wataumia, lakini wewe itabaki humu UNAROPOKA TU bila kuwapa msaada wowote!
Rejea kwa Saanane, Mzee Kibao, Soka na wengineo. Mnawaweka front Kisha ninyi mnabaki KUROPOKA TU!!!
Litakuwa jambo jema sana. Ikiwezekana itengenezee bango kuuuuuubwa na uliweke pale Kijazi Interchange!Kwa hiyo CCM ndo mmewaua Saanane, Soka, Kibao na wengineo wote wanaopotea na kuuwawa. Asante sana. Hii comment yako tutailaminate kabisa na kuitumia wakati sahihi.
Umeona kiongozi wenu vile amechukuliwa pale kariakoo sokoni leo? Yaani hadi aibu hata wafuasi angakau kumi tu wa chadema hawakujitokeza kusaidia au angalau kusema chochote,Tutawaonesha safari hii
Ndio, mfungulieni kesi nyingine ya ugaidi.Kumbe Lissu na genge lake ni magaidi!!
'Violence' ya aina hii ni halali.Boycott ni muhimu kuliko violence,tusiwe kama wao.
Sasa watu kumi hao ulitaka wafanye nini?Umeona kiongozi wenu vile amechukuliwa pale kariakoo sokoni leo? Yaani hadi aibu hata wafuasi angakau kumi tu wa chadema hawakujitokeza kusaidia au angalau kusema chochote,
Hivi kweli ndio mtaweza kuzuia uchaguzi?
Bado sanaaaa
NB
Mimi sio ccm na wala siipendi siasa, ila ukweli tuseme
Naam mkuu,upo sahihiUkishamnyanyasa sana mtu na kumnyima nafasi zote za kupumua usimchagulie silaha ya kutumia.
Unategemea mabadiliko kwenye comfort zone, unafikiri mtesi wako atakaa siku akuone huruma. Never ever!!! Haki inadaiwa haiombwi!Sasa unafikiri tukiianza kuchoma moto assets za chama fulani ni sawa?!
Sisi tunapigania HAKI tusitumie njia BATILI.
Ndio maana huwa tunasema SPANA🔧✅️
MATUSI❌️
hivi umesoma maelezo kama alivyo wasilishwa kwenye mada hapo juu?Sisi tusimamie kwenye HAKI tutashinda.
Kwani huko kwa Mandela kama ilivyo elezwa kwenye mada ilikuwaje?Hii sio Fabrication ili kuleta hisia kwamba Siasa za Upinzani ni za Vurugu hivyo Tunazuia Shughuli zote za kisiasa kulinda amani??