Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Hatupaswi kufikia hali iliyofikia Afrika kusini kipindi cha makaburu ingawa ubaguzi wakiitikadi ni mbaya sana kuliko ubaguzi wa Rangi kwa sababu ,kipindi cha ubaguzi wa Rangi ukiwa kibaraka wa makaburu ulikuwa unakula neema llakini ubaguzi wakiitikadi wewe ukiwa mpinzani ,jua kuwa kwenye nchi yako wewe ni muhaini ,upati kazi,biashara zako zinaharibiwa ,familia yako inateswa na kila siku wewe utakuwa kiguu na njia POLISI na mahakamani.Kundi kubwa la vijana wa upinzani wamepotea na kufilisiwa mpaka wengine wanainga juhudi kwa nguvu.kuna kila sababu serikali kuweka mazingira mazuri kwa vyma vyote la sivyo huu ubaguzi unaoendelea ukimea mizizi kule siku moja tutakuwa kama south Afrika.Najua kabisa hii hali viongozi wetu wanaiona na athari zake wanazijua .Wanapaswa kufanya kila njia kuhakikisha wananchi wanakuwa na mshikamano na umoja.Zanzibar ilifikia mahali hataa watu hawazikani biashara mtu anachagua wakumu,,uzia hata kama unafedha yako.Ila viongozi wakaona huko tunakokwenda siyo kuzuri wakatafuta muafaka ingawa ni wakilaghal laghai lakini afadhali.Sasa hali ya Zanzibar inataka kuhamia Tanzania bara tusiiruhusu hii hali hata kidogo.
 
Wakati Nyerere anaikomboa kagera unadhani hakuna askari waliokufa? Vp Nyerere alikosea kumuondoa Mvamizi?.Familia ya Nyerere na viongozi wengine si ilikuwa nyumbani inakula bagar, Kuna wanajeshi waliperekwa congo kwenye vita na wengine wamekufa vp mbona sijakuona ukimlaum Rais juu hilo, familia za waliofiwa unajua hali zao?
 
Sitajibu maana sioni connectivity.
 
Yalishafanyika kama hayo na zaidi ya hayo, ila waliishia kupewa kesi za ugaidi na hata hawa watapewa kesi za ugaidi tu,

Hakuna wa kushindana na serikali inchi hii, bado sana, wengi wenu waoga tu
Wewe upo upande gani wa haki au dhuruma?
 
Mda utaongea, ila amini nakwambia hakuna lolote litakalotokea na ndio kwanza jamaa watafanya vile wanataka na maisha yatakwenda na nyimbo zitabaki hizo hizo na hata 30 hakuna kitakachobadili,

Hayakuanza leo haya, tangu 95 hivi nani ungemwambia mrema, lipumba na mtei ni mapandikizi akakuelewa,

Hivyo hivyo na kwa hawa wa sasa,
Ccm imejikita sana mizizi chini huko, jamaa ni wataalamu kupita maelezo, kuwaondoa ni haiwezekani au labda watake wenyewe
 
Mwenezi anashangaa eti alikua Hana ugomvi na mtu yeyote.
Apo Mimi mwenyewe nashangaaaa😋
 
Kwahiyo ulivyoandika hivyo,unamaanisha hata Lissu ni pandikizi lililopigwa hadi risasi nyingi,kuuhadaa umma?
Hahahahaa!
 
Wangelichoma na yeye huyo mwenezi akiwa ndani ingependeza sana CCM ni mashetani kabisa.
 
Kwahiyo ulivyoandika hivyo,unamaanisha hata Lissu ni pandikizi lililopigwa hadi risasi nyingi,kuuhadaa umma?
Hahahahaa!
Kwani unadhani anataka kupigwa tena risasi?

Wanashindwa nini kumpiga tena?

Hakuna mkate mgumu kwa chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…