Wananchi waanza kutuma Salamu za No Reform No Election

Wewe ndugu imhotep kama sio kiongozi hata wa Jumuiya/Msikiti, basi kama taifa tunapata hasara kubwa sana kwa kutotumia watu wenye busara, werevu na hofu ya Mungu kama wewe.
Ubarikiwe sana na najivunia kuwepo JF pamoja nawe.
πŸ™πŸΏπŸ™πŸΏπŸ™πŸΏ
 
Sasa nimekuelewa bila ya shaka yoyote, mkuu wangu 'pye'. Ahsante sana kwa kunifungua macho.
 
Tusiingie kwenye mtego wao wa violence kuwapa sababu matukio kama haya niyakukemea kwa nguvu mana yanaweza kufanyiana wao kwa wao kwaajili ya uongozi No reform No Election ni none violent movement
Most painful fact uchumi unashuka kwa Kasi sababu ya dhurma
 
Ndugu yangu Kalamu , pamoja na hilo la kutowavurumisha waonevu, mimi ni mpenzi sana wa mtu mwenye msimamo na anayeusimamia huo msimamo.
Mfano napenda vile ndugu Tindo anavyosimamia msimamo wake wa "jeshi kumaliza uovu" na ule wa "mwisho wa CCM utaletwa na machafuko".
Watanzania wengi wetu tumekuwa vigeugeu sana, ndio maana nikiona mwana JF anasimamia anachokiamini kwa muda mrefu bila kubadilishwa na chochote, huyo anakuwa ni Mtanzania na nusu (kwa muono wangu).
 
Ni wapi unaokotea makopo?
 
Na huu ndo ukweli kama Jeshi limeshindwa kuwaondoa CCM pamoja na mateso yote wanayosababisha kwa Wananchi basi Wananchi tufanye tunaloweza. Ni mwendo wa kimya kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…