GE2025 Wananchi wakutana kushangilia kifo cha Ndugai!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tatizo harakaharaka anawachorea ramani maadui 🤔🤔
 
Nenda kwenye page ya Mrisho Mpoto hajapost tena tangu apost kufiwa na mke wake na hakuna post ya kumpa pole ameambiwa asilete taharuki mitandaoni, kifo ni kifo tu.
Mbona tofauti na uliyemjibu alichoandika
 
TCRA isicheke na maujinga haya yanayotengenezwa na vyombo vya hbr vinaendekea huo ufirauni vishughulikiwe
Wewe katafute maji baridi kunywa kwanza upumzike usije kufa kwa pressure.

Watu wamechoka TCRA haiwezi kuzuia majira, majira imefika wananchi wanaonyesha hisia zao wewe na kukariri kwako kuwa mlikuwa mnawadhibiti raia unaota kuwa mtaendelea tu. PUMBAVU WAHED
 
Haya ndio yale mataahira hata barua ya mtendaji wa mtaa yanagonga muhuri wa siri.
 
Kumbee 😳 !
 
Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Kuna kadhaa sijasikia bado, Mungu aendelee kuonesha ukuu wake!
 
Samia achukue funzo hapa Kwa haya yanayoendelea Kwa wananchi, marehemu alikuwa anataka kujimilikisha Jimbo Kwa Miaka 30 pumbavuuu zake kabisaa Huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…