ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Duh π !Aliyetibiwa kwa fedha za serikali kwa 1.1bn anadanja wakati aliyefumuliwa risasi 40+, akanyimwa pesa za matibabu anadunda na anaendelea kuitetemesha Dunia
Mmmmh ! π³Ila Wanyaturu..
Watu walidhani anawapa nyamaYule kachinja ng'ombe 300 sio rahisi ...
Ni hatari sana. Nimeanza kuwaogopaIla Wanyaturu..
Sawa, vp hilo limesaidia bwana wenu lissu kuingia ikulu?!!π€£π€£π€£Nenda kwenye page ya Mrisho Mpoto hajapost tena tangu apost kufiwa na mke wake na hakuna post ya kumpa pole ameambiwa asilete taharuki mitandaoni, kifo ni kifo tu.
Kwamba wamepangwa na wapinzani wa Job? SidhaniKila kitu kina bei. Tutaona kama watashangilia Mchana kweupe. Lazima mazingira yatengenezewe....! Nawaza yawezekana Nawaza isivyo sahihi
HahahaKwamba wamepangwa na wapinzani wa Job? Sidhani
Kama rais akimteua kuwa Waziri, nani atamkataa ?Jana nimemskiliza vyema HP .amesema hv;
Wanamtandao waanzilishi nao wameweka vijana wao..akaenda mbali zaid akasema walioenda kwa Jk kumshawishi agombee ni;
1.Samuel Sitta
2.Edo boy
3.Rostam
Na akasema inakuaje mtu fulani akitajwa tajwa huna inakua kweli?
Mfano now rumours has kua Makonda ndo Waziri mkuu ajaye na itakua kweli pia makonda ni kijana wa Samuel 6.
KUMBE MAKONDA NAYE NI MWANAMTANDAO ...Shenzi hatuwataki
Kifupi wanamtandao wameshika madaraka hatari... Makonda hafai kua Waziriπ
Endeleeni kuhamisha magoli...wana Kongwa wamefurahi kishenzi..mfe tu matako yenuπKwa akili za nani anaweza kukubali kuwa huku ni kushangilia kifo cha Mh. Nduga. Ila kama walishangilia cha babaako hapo sawa!
Acha tu mkuu ....Watu walidhani anawapa nyama
Ukimsikiliza jana HP?Kama rais akimteua kuwa Waziri, nani atamkataa ?
Umefikia 75% ya matumizi ya MB za kifurushi cha Internet Tsh.100,000 umebaki na 55 MB zitumike hadi 12.08.2025 00:17:09. Piga *149*01# kununua kifurushi kingine.Ukimsikiliza jana HP?
Na wewe upunguze ujinga!! Hili sii mada ya Chadema, ni mada ya Mtanzania mwenye akili huru. Sio kama wewe umejaza matope kichwani.jinga kabisaa!!Hizi ndo mada mpendazo chadema π hapo roho zenu n burudani tuu
Karma....Taarifa ya sasa inaeleza kwamba, wote walioandaa Hotuba ile ya mazishi ya Lissu zikiwemo na kompyuta zilizotumika kuchapishia Wamepukutika, hakuna hata mmoja aliyesalia.
Sawa mremboWe nae kutwa kuwasema CHADEMA huchoki? Au Lissu kakubwaga hatujui? Comments zako zote unawanyali cdm .hebu tuache bibi wee!