Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Ni mchapa kazi ndio maana wananchi na wapiga kura wake wameamua kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu.ili agombee tena mwakani.Huyo tale nae ni msanii kama chalamila!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mchapa kazi ndio maana wananchi na wapiga kura wake wameamua kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu.ili agombee tena mwakani.Huyo tale nae ni msanii kama chalamila!
Nichangie basi na ephen_Acha wivu wako. Subiri na wewe uchangiwe.
Weka ushahidi wa mimi kuhongwa pesa hapa kwa ajili ya kuleta taarifa hii.Kama ambayo kakuhonga wewe kuja kuweka huu Uzi hapa, hata hizo pesa za kuchukulia fomu, kawapa hao wananchi na kawahonga wajitokeze na kupandikiza hilo tukio.
Wananchi wabubujikwa na machozi wakiwa kwenye foleni ya kuchangia!Ni mchapa kazi ndio maana wananchi na wapiga kura wake wameamua kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu.ili agombee tena mwakani.
Wenye akili Timamu na wanaojitambua na wanaothamini mchango Chanya wa Mbunge wao wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari yao kumchangia pesa mbunge wao ili achukulie Fomu hapo mwakani.Yale yale maigizo ya kwenye maombolezo ya jiwe, ambapo sukuma gang waliigiza kuzimia lkn wakasahau kutupa mifuko ya plastic waliokuwa wamebebea viatu vyao.
Nani mwenye akili timamu anaweza kumchangia fedha Babu Tale?
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani katika uchaguzi Mkuu.
Tukio hilo limefanyika siku ya leo katika uwasilishaji wa taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM 2020-2025,Tukio ambalo lilihudhuriwa na kushuhudiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mheshimiwa Kanali Mstaafu Abrahaman Kinana.
Wamefanya hivyo kama sehemu ya kuonyesha upendo,kumuunga mkono na kumtia moyo Mbunge wao kwa kazi nzuri aliyoifanya katika ubunge wake iliyogusa Maisha yao na kuleta tabasamu na matumaini.wamefanya hivyo pia baada ya kukoshwa na uchapakazi wake na kukata kiu yao waliyokuwa nayo na kuona namna Mbunge wao anavyozungumza Lugha yao kwa kueleza matatizo na kero za jimbo lao, pamoja na kuzitafutia ufumbuzi kwa kushirikiana na serikali yao.
Wanatambua ukweli kwamba ni kweli kero zote hazijakwisha lakini wameona juhudi na jitihada kubwa zinazofanywa na Mbunge wao katika kuzitafutia Majibu.hii ndio sababu wamemua kumtia moyo na kuonyesha kumuunga mkono na kuhitaji kuendelea kuwa naye katika awamu nyingine tena .ndio maana ya kuamua kujichanga kidogo kidogo kwa kila mtu kwa kadri ya uwezo wake na alivyojaliwa na Mwenyezi Mungu, kupata pesa itakayomsaidia kuchukulia Fomu hapo mwakani.
Najuwa wengine hasa CHADEMA wanaweza kuanza kuuliza inakuwaje achangiwe wakati anapokea mshahara mnono? Jibu ni kuwa ni katika kumpa hamasa mbunge wao,kumtia moyo, kumuunga mkono na kumkumbusha kuwa yupo bungeni kwa ajili yao na wao ndio mabossi wake na chochote afanyacho au kupitisha Bungeni ni lazima atangulize mbele na kuzingatia maslahi ya wapiga kura wake.asipitishe au kuunga mkono jambo lolote au sheria itakayokuwa mateso na maumivu kwa wapiga kura wake.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wananchi wameonyesha imani kubwa sana kwa Mheshimiwa Mbunge.wamemheshimisha sana mbele ya Makamu Mwenyekiti bara.Tuna imani na Tale.
Babu Tale ni Mshamba sana🐼KWAMBA
Alienda bank kuomba chenji na kuwapa waje wamrudishie mkutanoni kwamLengo hayo
Mshamba Mwenyewe.Babu Tale ni Mshamba sana🐼
SijakataaMshamba Mwenyewe.
Tuna uhakika kuwa ni wananchi wa huko jimboni kwake? Usikute ni watu wa manzese hapoWananchi siyo wajinga bali wanatambua kazi kubwa iliyofanywa na mbunge wao.ndio maana wameamua kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu .kama sehemu ya kumtia moyo ya kuendelea mbele kwa kasi na kwamba wapo pamoja naye wakati wote.
Tale hana bayaWananchi wameonyesha imani kubwa sana kwa Mheshimiwa Mbunge.wamemheshimisha sana mbele ya Makamu Mwenyekiti bara.
Mimi ni mkulima na siyo mganga wa kienyeji.Sijakataa
Wewe mnyiha ni lazima umtetee mganga wa kienyeji mwenzako 😂
Ni wananchi wa jimboni kwake. Lakini pia hata wananchi wa Manzese wakitaka kumchangia wala wasihofu wanaweza kumchangia Mhessimiwa mbunge bila shida,Tuna uhakika kuwa ni wananchi wa huko jimboni kwake? Usikute ni watu wa manzese hapo
CHADEMA mkiishiwa hoja mnaanza porojo zenu.Hivi ni kweli Mbeya kuna watu wa hovyo kiasi hiki?
Mbona unajishuku? Sijataja mtu hapo.CHADEMA mkiishiwa hoja mnaanza porojo zenu.
Hiyo ni yenusisi ya niniNdugu zangu Watanzania,