Kingwaba Mazegenuka
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,016
- 1,707
Kilaza Babu Tale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani siyo dokta tena?Kilaza Babu Tale
Sina huo muda mchafu kumuunga mkono mtu mweye mdomo mchafu na mbanguzi kama Lissu ,ambaye hata chama chake tu kimeamua kujitenga naye kiana. Si unaona anapambana kivyake na michango yake ya kuomba kununuliwa gari la kifahari la kupigia misele yake .nahapo bado wachangiaji wajiandae kuchangia tena mafuta ya gari na hela za chakula na vinywaji vyake.Lucaaaaa unampenda TAML hadi unabubujikwa na machozi.🤣🤣🤣
Ndiyo umuonee wivu sasa?Aaaa acha hizo wewe!Sina huo muda mchafu kumuunga mkono mtu mweye mdomo mchafu na mbanguzi kama Lissu ,ambaye hata chama chake tu kimeamua kujitenga naye kiana. Si unaona anapambana kivyake na michango yake ya kuomba kununuliwa gari la kifahari la kupigia misele yake .nahapo bado wachangiaji wajiandae kuchangia tena mafuta ya gari na hela za chakula na vinywaji vyake.
Anaitwa Dokta Tale.