Pre GE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Simjui ila sioni kama ana msaada kwa wapiga kura wake.
 
Babu tale ni mavi hana lolote kwenye hilo jimbo na hawezi kupita hata iweje
 
Hao wanainchi wana akili sawa sawa? [emoji848]
 

Mama ataongoza Kwa miaka kumi Hilo halina shida wala tatizo

Shida na tatizo ni utendaji wa watendaji wa serikali ndio wanatufelisha

Wizi ni mwingi, umesikia Arusha mtu kalipa 24m kaandikiwa 3m 21m zimeliwa zote

Hayo ndio mambo ya mtu mzalendo kama wewe ya kupigia makelele

Sio kila siku unakuja na hoja ambazo hata usipozisema haubadilishi wala kuongeza chochote

Ndio maana nakwambia wewe na Mdude tofaut yenu ni vyama Tu ila Akili zenu ni sawa
 
Wananchi siyo wajinga bali wanatambua kazi kubwa iliyofanywa na mbunge wao.ndio maana wameamua kumchangia pesa ya kuchukulia Fomu .kama sehemu ya kumtia moyo ya kuendelea mbele kwa kasi na kwamba wapo pamoja naye wakati wote.

Kazi kubwa gani?
Yan wewe hata propaganda za siasa hujui?

Mbunge anatoa ela mwenyewe kuwapa watu na wewe bila kujua unaingia king Tu Kwa kudhania watu wametoa ela zao

Maendeleo gani aliyofanya? Kama alishindwa hata kujua umbali wa barabara yake ya jimboni kwake ww unaona ni mtu wa kuleta maendeleo
 
Wanainchi walivyopigika na maisha hawawezi fanya upuuzi huo punguzeni maigizo ya kitoto
 
Kunifananisha mimi na Mdude ni sawa na kunitukana matusi
 
Tumbo mponza tako
 
Tutajie aliyoyafanya kwenye jimbo lake kama mbunge
Hivi Ubunge ungekua haulipi km Biashara zingine nani angeenda BUNGENI? Ushawahi kujiuliza hilo swali? Yaan Ubunge ingekua ni kazi ya kujitolea TU bila Malipo, nani angeenda BUNGENI?
 
Fomu ya ubunge Tsh. 100,000

Wananchi wake wapo wangapi?

NB: Juzi tu kawapa wajumbe wa CCM rushwa ya Milioni 40+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…