Sina huo muda mchafu kumuunga mkono mtu mweye mdomo mchafu na mbanguzi kama Lissu ,ambaye hata chama chake tu kimeamua kujitenga naye kiana. Si unaona anapambana kivyake na michango yake ya kuomba kununuliwa gari la kifahari la kupigia misele yake .nahapo bado wachangiaji wajiandae kuchangia tena mafuta ya gari na hela za chakula na vinywaji vyake.