Kumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi.
Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine anawaita mashujaa, mwingine anaita Katiba kijitabu mwingine anatutaka tupambanie katiba mpya, sijui tupambane na nani, na Samia?
Tumemsikia Nchimbi, jana hiyo hiyo Mkiti jumuiya ya Wazazi CCM kamjibu, wamejipanga, the next movie ni baadhi ya wana CCM kujifanya wanamshauri Samia amwachie Lissu.
Tusidanganyike, ila this time Watanzania wameshtukia maigizo yao mapema, kongole wananchi wasiwasi ndio akili.