Wananchi wamekataa maigizo ya Nchimbi, hiki ni kiwewe cha siku 30 za Commonwealth.

Wewe matumaini yako umeweka kwa Samia, zingatia, umesema commonwealth ni umoja wa akina mama ila misaada yao mnapokea.
Common wealth haina msaada wowote,zamani was something lakini siku hizi UK mwenyewe hoi bin taaban
 
Tatizo hapa Tanzania tuna chama kimoja tu ambacho ni CCM. Ila watendaji wa CCM wanaudhi kwa kuonea watu na ufisadi kwa kwenda mbele. Kwa maana hiyo watu wanapochukia matendo ya wana CCM wanakimbilia vyama vya Upinzani wanakuwa Anti CCM. Kwa kiswahili ndiyo wanaitwa Wapinzani.

Hili neno Wapinzani silipendi kwani Tanzania inatakiwa kuwa ya vyama vingi (kumbuka chama ni ideology ila kwa Tanzania ideology ni kupinga CCM) ndiyo maana JPM alianguka kwa vile aliegemea sera za upinzani, kawa na upinzani ndani ya CCM na kwa bahati mbaya Anti-CCM kwa vile ni wapinzani nao wakamgeuka. Kosa analofanya Nchimbi (Tuna imani na Lowassa... etc).

Quinine upo sahihi kwa vile kwenu CCM ikisema A nyie mnasema B na CCM ikiwafuateni ikasema B mnabadilika na kusema A.

Watanzani kila mara tunagawanyika katika makundi mawili kinzani (Simba na Yanga, au Wakrito na Waislam, au Wakatoliki na Wapolestanti etc)

Mkombozi wa hii nchi ni kuwa na mgombea huru tu.

Mkuu nimechukua hii sentensi 'chama ni ideology ila kwa Tanzania ideology ni kupinga CCM'.
 
Mmeweka matumaini yenu common wealth?.. common wealth ni umoja wa akina mama wa mtaa usio na tija zaidi ya kupiga umbea

kwa hiyo unaamini kabisa kwamba regime yenu tanzagiza inaweza kwenda kushindana na english monarchy? endeleeni kuota.

mugabe akiwa detention na ndiyo ukawa mwisho wake bila hata ya jiwe kurushwa popote ...
1784961514056.png

1784961338470.png
 
Wamefeli pakubwa, hakuna cha mgogoro wala nini ndani ya chama. Ni kama vile mtu na mdogo wake wamejifungia chumbani wakapanga "wewe mtukane huyu, alafu mimi nitakuja kumtetea" ili watu wa pembeni waone kuna mtu mzuri. Wanatengeneza artificial conflict kutuzuga.
 
Upo sahihi, jana tu Nchimbi kaongea, jana hiyohiyo Mkiti jumuia ya Wazazi CCM kamjibu na jana hiyo hiyo Mkiti UVCCM Kawaida kamjibu.

It was a planned mission.
 
Huko ni kujihami mapema mno kabla ya hiyo tarehe 10/8. Wanataka Jumuiya ya Madola ione kwamba tuna changamoto za ndani za kidemokrasia tunazozijadili, ili hata wakichelewa kuchukua hatua kwa Lissu, waonekane mchakato ulikuwa bado unatafuta muafaka wa ndani ya chama.

Mchezo wa kitoto sana wamefanya.
 
Wamechelewa.
 
Tatizo hapa Tanzania tuna chama kimoja tu ambacho ni CCM. Ila watendaji wa CCM wanaudhi kwa kuonea watu na ufisadi kwa kwenda mbele. Kwa maana hiyo watu wanapochukia matendo ya wana CCM wanakimbilia vyama vya Upinzani wanakuwa Anti CCM. Kwa kiswahili ndiyo wanaitwa Wapinzani.

Hili neno Wapinzani silipendi kwani Tanzania inatakiwa kuwa ya vyama vingi (kumbuka chama ni ideology ila kwa Tanzania ideology ni kupinga CCM) ndiyo maana JPM alianguka kwa vile aliegemea sera za upinzani, kawa na upinzani ndani ya CCM na kwa bahati mbaya Anti-CCM kwa vile ni wapinzani nao wakamgeuka. Kosa analofanya Nchimbi (Tuna imani na Lowassa... etc).

Quinine upo sahihi kwa vile kwenu CCM ikisema A nyie mnasema B na CCM ikiwafuateni ikasema B mnabadilika na kusema A.

Watanzani kila mara tunagawanyika katika makundi mawili kinzani (Simba na Yanga, au Wakrito na Waislam, au Wakatoliki na Wapolestanti etc)

Mkombozi wa hii nchi ni kuwa na mgombea huru tu.

Mgombea binafsi sawa, ....ili aende kufanya nini?
 
Back
Top Bottom