Waaao!Kumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi.
Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine anawaita mashujaa, mwingine anaita Katiba kijitabu mwingine anatutaka tupambanie katiba mpya, sijui tupambane na nani, na Samia?
Tumemsikia Nchimbi, jana hiyo hiyo Mkiti jumuiya ya Wazazi CCM kamjibu, wamejipanga, the next movie ni baadhi ya wana CCM kujifanya wanamshauri Samia amwachie Lissu.
Tusidanganyike, ila this time Watanzania wameyashtukia maigizo yao mapema, wasiwasi ndio akili.
Mmeweka matumaini yenu common wealth?.. common wealth ni umoja wa akina mama wa mtaa usio na tija zaidi ya kupiga umbeaKumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi.
Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine anawaita mashujaa, mwingine anaita Katiba kijitabu mwingine anatutaka tupambanie katiba mpya, sijui tupambane na nani, na Samia?
Tumemsikia Nchimbi, jana hiyo hiyo Mkiti jumuiya ya Wazazi CCM kamjibu, wamejipanga, the next movie ni baadhi ya wana CCM kujifanya wanamshauri Samia amwachie Lissu.
Tusidanganyike, ila this time Watanzania wameyashtukia maigizo yao mapema, wasiwasi ndio akili.
Wewe matumaini yako umeweka kwa Samia, zingatia, umesema commonwealth ni umoja wa akina mama ila misaada yao mnapokea.Mmeweka matumaini yenu common wealth?.. common wealth ni umoja wa akina mama wa mtaa usio na tija zaidi ya kupiga umbea
Hatuchezewi kizembe. CCM ni ileileKumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi.
Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine anawaita mashujaa, mwingine anaita Katiba kijitabu mwingine anatutaka tupambanie katiba mpya, sijui tupambane na nani, na Samia?
Tumemsikia Nchimbi, jana hiyo hiyo Mkiti jumuiya ya Wazazi CCM kamjibu, wamejipanga, the next movie ni baadhi ya wana CCM kujifanya wanamshauri Samia amwachie Lissu.
Tusidanganyike, ila this time Watanzania wameyashtukia maigizo yao mapema, wasiwasi ndio akili.
Lissu ni hakimu anayepanga kesi kusikilizwa baada ya miezi 6,Nyara ya serikali yenye makazi pale Gombe yenyewe inasema TALM anachelewesha kesi kwa kuweka mapingamizi. Hawa wahuni ni kukataliwa kote duniani na mbinguni, ndani na nje ya nchi.
Nchi imejaa matobo wakati Cw imekaba kwenye koo bado wanazidi kumbambia watu kesi za ugaidi , hawachomoki hawaKumbukeni CW wametoa deadline hadi tarehe 10/8 suala la Lissu liwe limetatuliwa na masuala mengine ya kisiasa yawe yamepatiwa ufumbuzi. Watoke vipi.
Mbinu rahisi waliyoona inafaa ni kuwapumbaza Watanzania kujifanya hawaelewani wao kwa wao, wengine wanawaita Wanaharakati magaidi mwingine anawaita mashujaa, mwingine anaita Katiba kijitabu mwingine anatutaka tupambanie katiba mpya, sijui tupambane na nani, na Samia?
Tumemsikia Nchimbi, jana hiyo hiyo Mkiti jumuiya ya Wazazi CCM kamjibu, wamejipanga, the next movie ni baadhi ya wana CCM kujifanya wanamshauri Samia amwachie Lissu.
Tusidanganyike, ila this time Watanzania wameyashtukia maigizo yao mapema, wasiwasi ndio akili.
Upinzani ni ''opposition'' kwa kimombo. Yaani unakuwa mawazo tofauti kwenye namna nchi inatakiwa iendeshwe kulingana na serikali inayoongoza. CCM ime-corrupt watanzania wengi waone kama ni neno baya wakati siyo kabisa.Tatizo hapa Tanzania tuna chama kimoja tu ambacho ni CCM. Ila watendaji wa CCM wanaudhi kwa kuonea watu na ufisadi kwa kwenda mbele. Kwa maana hiyo watu wanapochukia matendo ya wana CCM wanakimbilia vyama vya Upinzani wanakuwa Anti CCM. Kwa kiswahili ndiyo wanaitwa Wapinzani.
Hili neno Wapinzani silipendi kwani Tanzania inatakiwa kuwa ya vyama vingi (kumbuka chama ni ideology ila kwa Tanzania ideology ni kupinga CCM) ndiyo maana JPM alianguka kwa vile aliegemea sera za upinzani, kawa na upinzani ndani ya CCM na kwa bahati mbaya Anti-CCM kwa vile ni wapinzani nao wakamgeuka. Kosa analofanya Nchimbi (Tuna imani na Lowassa... etc).
Quinine upo sahihi kwa vile kwenu CCM ikisema A nyie mnasema B na CCM ikiwafuateni ikasema B mnabadilika na kusema A.
Watanzani kila mara tunagawanyika katika makundi mawili kinzani (Simba na Yanga, au Wakrito na Waislam, au Wakatoliki na Wapolestanti etc)
Mkombozi wa hii nchi ni kuwa na mgombea huru tu.
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), Rajabu Maganya, amesema mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2030.
Maganya amesema mchakato huo hauwezi kukamilika ndani ya mwaka mmoja, lakini ameeleza kushangazwa na baadhi ya vyama vya siasa na watu wanaohamasisha wananchi kupigania Katiba Mpya kana kwamba imezuiwa.
"Ni nani aliyezuia Katiba Mpya? Ni nani amesema hakutakuwa na Katiba Mpya?" amehoji Maganya, akisisitiza kuwa Serikali na CCM hazijawahi kutangaza kuwa mchakato huo hautafanyika.
Maganya ametoa...
- Mkalukungone Mwamba
- katiba mpya
- Replies: 37
- Forum: Jukwaa la Siasa
Siku ya kufa nyani kila mti huteleza.Tusidanganyike, ila this time Watanzania wameyashtukia maigizo yao mapema, wasiwasi ndio akili.