Wananchi wamekataa maigizo ya Nchimbi, hiki ni kiwewe cha siku 30 za Commonwealth.

Wewe matumaini yako umeweka kwa Samia, zingatia, umesema commonwealth ni umoja wa akina mama ila misaada yao mnapokea.
Common wealth haina msaada wowote,zamani was something lakini siku hizi UK mwenyewe hoi bin taaban
 
Mkuu nimechukua hii sentensi 'chama ni ideology ila kwa Tanzania ideology ni kupinga CCM'.
 
Mmeweka matumaini yenu common wealth?.. common wealth ni umoja wa akina mama wa mtaa usio na tija zaidi ya kupiga umbea

kwa hiyo unaamini kabisa kwamba regime yenu tanzagiza inaweza kwenda kushindana na english monarchy? endeleeni kuota.

mugabe akiwa detention na ndiyo ukawa mwisho wake bila hata ya jiwe kurushwa popote ...


 
Wamefeli pakubwa, hakuna cha mgogoro wala nini ndani ya chama. Ni kama vile mtu na mdogo wake wamejifungia chumbani wakapanga "wewe mtukane huyu, alafu mimi nitakuja kumtetea" ili watu wa pembeni waone kuna mtu mzuri. Wanatengeneza artificial conflict kutuzuga.
 
Upo sahihi, jana tu Nchimbi kaongea, jana hiyohiyo Mkiti jumuia ya Wazazi CCM kamjibu na jana hiyo hiyo Mkiti UVCCM Kawaida kamjibu.

It was a planned mission.
 
Upo sahihi, jana tu Nchimbi kaongea, jana hiyohiyo Mkiti jumuia ya Wazazi CCM kamjibu na jana hiyo hiyo Mkiti UVCCM Kawaida kamjibu.

It was a planned mission.
Huko ni kujihami mapema mno kabla ya hiyo tarehe 10/8. Wanataka Jumuiya ya Madola ione kwamba tuna changamoto za ndani za kidemokrasia tunazozijadili, ili hata wakichelewa kuchukua hatua kwa Lissu, waonekane mchakato ulikuwa bado unatafuta muafaka wa ndani ya chama.

Mchezo wa kitoto sana wamefanya.
 
Wamechelewa.
 
Mgombea binafsi sawa, ....ili aende kufanya nini?
 
Mgombea binafsi sawa, ....ili aende kufanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…