Wananchi wanataka maendeleo, wanasiasa wanataka Katiba

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.

Kwa sasa tunaye Rais aliye na dhamira ya dhati kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisasa hivyo tumpe muda kama alivyo sema ili aweze kujipanga na kushughulikia jambo moja baada ya jingine, tusilazimishe mambo twendeni kwa busara, wanasiasa acheni jazba, wananchi tumemuelewa vizuri Rais wetu Samia.

Kila mwananchi anafahamu umuhimu wa katiba mpya baada ya zoezi la Jaji warioba, ila kwa sasa Rais wetu katumia kauli ya kiungwana huvyo na sisi tuwe waungwana, tusijifanye wajuaji sana, tusiwe wabinafsi, tuache kejeli,tusimbananishe, kila jambo lina muda wake,tuwe wavumilivu kwani mvumilivu hula mbivu.

kazi iendelee.
 
Tusidanganyane🙄

Wananchi tunahitaji Katiba mpya, itakayofanya nchi iendeshwe kulingana na matakwa na matamanio ya umma, kuliko ilivyo sasa, inavyoendeshwa na kikundi cha miungu watu wale wale tangia uhuru..
 
Maendeleo ya kweli yasiyo na ubabaishaji, Maendeleo yenye haki na Maendeleo ambayo mtu akituibia anawajibika papo hapo yapo kwenye Katiba mpya.

Mfumo wa kichief na kiujamaa umepitwa na wakati ni muda wa kuukataa kwa nguvu zote!!.
 
Ajabu sana mkuu,matakwa yao wanawapakazia wananchi,mama kawastukia kawapiga TKO,wamebaki kuhenyahenya tu mitandaoni.

Mama shikilia hapo hapo,hakuna kucheka na nyani.
 
Mimi hata hiyo katiba mpya pendekezwa siitaki, kwasababu ilikojolewa na kunajisiwa pakubwa sana na kakundi kalikojiita 'bunge la katiba'.
 
Basi nyie Mataga ni wapumbavu miaka 61 bado unataka maendeleo ambayo hujui utayapata lini.Hivi nyie mataga nani aliye waroga.

Tunaitaji Katiba bora ambayo itaenda kuondoa wanasiasa sample ya Ccm tunahitaji wawajibishwe na wananchi pale wanaposhindwa kuleta maendeleo

Fala wewe mtoa mada
 
Tusidanganyane[emoji849]

Wananchi tunahitaji Katiba mpya, itakayofanya nchi iendeshwe kulingana na matakwa na matamanio ya umma, kuliko ilivyo sasa, inavyoendeshwa na kikundi cha watu wale wale tangia uhuru..
Wewe ni mwana siasa unaye tamani kupata nafasi ktk serikali,au kuteuliwa kupitia katiba mpya ila sisi wananchi tunataka kwanza maendeleo.

Katiba mpya ni MAANDISHI TU angalia Jirani zetu wa kenya kati ya mwaka 2014/2015 waliandika katiba mpya ambayo iliitwa katiba bora haijawahi kutokea! lkn leo hii baada ya miaka 6 wanadai tena katiba ibadilishwe!! lkn wanao taka ni wana siasa ili kurahisisha kushika dola.
sisi wananchi hatutaki kupotoshwa, Mama kwa sasa fanya kazi ya kujenga uchumi wetu ili tujigombowe kutoka kwenye umasikini.
 
Mtoa mada umegusa palepale , sisi wananchi tuahitaji maendeleo ya kimiundombinu huduma safi za Afya maji umeme barabara safi huduma nzuri za kibenki ajira na uwezeshwaji,hao wapiga ndomo wao wanachohitaji ni njia ya kufika kiwepesi kuikalia nchi na kuila asali juu ya mti kabla hata ya kuutwisha mzinga wa asali chini.

*ukiwafikiri sana wanasiasa unaweza kucheka Sana wanapenda Rahisi rahisi tu "aongee neno apate pesa" simple like that's...!"ashawishi wajinga wamchangie apate kuishi"Ajabu kuna watu na Akili zao wanachanga tena kwa hiyari yao wenyewe,kwa lafudhi tamu za wanasiasa za matumaini kwa watu hao.
 
Mpango wa taifa wa maendeleo uliozinduliwa jana mmeufatilia lakini?
Hayo maendeleo ya vitu mnayotaka ni kipaumbele cha mwisho kabisaaaa!!
Mpo?
Hiyo kazi iendelee sijui hata ni kazi gani asee
 
Tangu sera ya Ujamaa na Kujitegemea ilituahidi maendeleo. Watu walihamishwa kwa nguvu kupelekwa kwenye vijiji vya ujamaa. Waliacha mashamba ya mababu zao na kupatiwa heka moja au mbili kwa matumizi binafsi, walisisitizwa walime pamoja katika mashamba ya ushirika. Miaka takriban 50 sasa bado wanaishi katika nyumba za nyasi.
 
Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.

Kwa sasa tunaye Rais aliye na dhamira ya dhati kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisasa hivyo tumpe muda kama alivyo sema ili aweze kujipanga na kushughulikia jambo moja baada ya jingine, tusilazimishe mambo twendeni kwa busara, wanasiasa acheni jazba, wananchi tumemuelewa vizuri Rais wetu Samia.

Kila mwananchi anafahamu umuhimu wa katiba mpya baada ya zoezi la Jaji warioba, ila kwa sasa Rais wetu katumia kauli ya kiungwana huvyo na sisi tuwe waungwana, tusijifanye wajuaji sana, tusiwe wabinafsi, tuache kejeli,tusimbananishe, kila jambo lina muda wake,tuwe wavumilivu kwani mvumilivu hula mbivu.

kazi iendelee.
Inawezekana kwa akili yako ndogo ndio maana uelewa wako ni duni kwakuwa una elimu duni iliyotokana na katiba mbovu!!!
Mataifa yote yaliyopiga hatua duniani ni kwa kuwa wana katiba bora.
Bila katiba bora na madhubuti katu huwezi ona maendeleo!! Tutaishia ooo mpango wa maendeleo wa miaka mitano mara miaka ...... !!! Kumbe hakuna lolote!??
 
Ajabu sana mkuu,matakwa yao wanawapakazia wananchi,mama kawastukia kawapiga TKO,wamebaki kuhenyahenya tu mitandaoni.

Mama shikilia hapo hapo,hakuna kucheka na nyani.
Ccm akili ni ndogo sana ndio maana marehem alinunua wapinzan na mama kawajaza kwenye nafasi!?? Kwan mama kasemaje!??
 
Mtoa mada umegusa palepale , sisi wananchi tuahitaji maendeleo ya kimiundombinu huduma safi za Afya maji umeme barabara safi huduma nzuri za kibenki ajira na uwezeshwaji,hao wapiga ndomo wao wanachohitaji ni njia ya kufika kiwepesi kuikalia nchi na kuila asali juu ya mti kabla hata ya kuutwisha mzinga wa asali chini.

*ukiwafikiri sana wanasiasa unaweza kucheka Sana wanapenda Rahisi rahisi tu "aongee neno apate pesa" simple like that's...!"ashawishi wajinga wamchangie apate kuishi"Ajabu kuna watu na Akili zao wanachanga tena kwa hiyari yao wenyewe,kwa lafudhi tamu za wanasiasa za matumaini kwa watu hao.
Hayo maendeleo utayasikia tuuu huu ni mwaka wa ngapi tangu uwe huru!??
 
Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.

Kwa sasa tunaye Rais aliye na dhamira ya dhati kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisasa hivyo tumpe muda kama alivyo sema ili aweze kujipanga na kushughulikia jambo moja baada ya jingine, tusilazimishe mambo twendeni kwa busara, wanasiasa acheni jazba, wananchi tumemuelewa vizuri Rais wetu Samia.

Kila mwananchi anafahamu umuhimu wa katiba mpya baada ya zoezi la Jaji warioba, ila kwa sasa Rais wetu katumia kauli ya kiungwana huvyo na sisi tuwe waungwana, tusijifanye wajuaji sana, tusiwe wabinafsi, tuache kejeli,tusimbananishe, kila jambo lina muda wake,tuwe wavumilivu kwani mvumilivu hula mbivu.

kazi iendelee.
Na ndio ukweli
 
Kuna watu wanaimba wimbo wa Katiba Mpya ,Ukiwauliza je Katiba ya sasa unaijua ? Jibu hana
 
Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya kimasikini yakwamuliwe, kwa sasa tunataka elimu bora kwa watoto wetu, tunataka maji safi na salama, tunataka umeme wa uhakika, tunataka huduma za afya bora.

Kwa sasa tunaye Rais aliye na dhamira ya dhati kufanya mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kisasa hivyo tumpe muda kama alivyo sema ili aweze kujipanga na kushughulikia jambo moja baada ya jingine, tusilazimishe mambo twendeni kwa busara, wanasiasa acheni jazba, wananchi tumemuelewa vizuri Rais wetu Samia.

Kila mwananchi anafahamu umuhimu wa katiba mpya baada ya zoezi la Jaji warioba, ila kwa sasa Rais wetu katumia kauli ya kiungwana huvyo na sisi tuwe waungwana, tusijifanye wajuaji sana, tusiwe wabinafsi, tuache kejeli,tusimbananishe, kila jambo lina muda wake,tuwe wavumilivu kwani mvumilivu hula mbivu.

kazi iendelee.
Akili yako ni fupi
 
Back
Top Bottom