Pre GE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia.

Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!


Your browser is not able to display this video.
 
Bila picha huu Uzi ni batili
 
Na bado. Atavua li-ushungu siku siyo nyingi.
 
Oroba sanja na makuria na masyakasi, Africa ina safari ndefu sana kwa kweli.
 
I wish watu wote wangekuwa vichwangumu kama mimi. Kwangu manabii wa uongo huwa hawapati airtime hata kidogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…