Wananchi wawashambulia wabunge kufuatia adhabu kwa Askofu Gwajima na Silaa

Hilo ndo wajiulize kwamba zaidi ya mwezi chanjo zimedoda pamoja na kuzindua kwa mbwembwe Ina maana hoja za Gwajima zimeshinda.

Matukio ya watoto wa shule za misingi kukimbia shule wakikwepa chanjo yameongezeka hi inatoa ujumbe mzito kwa watawala.
 
Unasema wanachi ni wapumabavu!

Je nyie chadema ina maana siyo werevu pia? Mbona chanjo bado zipo na zilikuja milion 1 tu?

Ina maana nyie hamfiki milioni hapa nchini?
Hata hao wabunge watuambie wamechanjwa wangapi?mbona wanakwepa?Kama wamechanjwa wote Bungeni barakoa za nini?
 

Sukuma gang mkalime furu kwenu mlituharibia sana nchi shwainii
 
Wewe kama una akili timamu kirusi cha kwanza cha corona kiliitwaje na kasi yake ilkuaje na ss kirusi kinaitwaje na kasi yake ikoje? Kama kirusi kinabadilika unashangaa kubadilika watu? Acha hizo tafakari
Peleka huko upuuzi wako
 
Swala la chanjo Gwajima kapata uungaji mkono kwa wananchi wengi kwasababu kuu moja ni Legacy ya upumbavu wa Mwendazake kuwaongopea wananchi na kuwashawishi wananchi kuwa chanjo ni feki na kutumia kivuli Cha dini
Kumbe mwendazake alikuwa na wafuasi wengi, yaani waliompinga hawafiki hata milioni moja, wamalizane na hizo chanjo! Kweli nazidi kuamini kweli JPM alikuwa kipenzi Cha watanzania
 
Hongera kwa kuchanjwa!

Bila shaka sasa hilo barakoa utalitupa! Uko save! Hutakufa kwa corona tena!!
Ni maoni ya kitoto haya, kifo hakihusiani na Korona, Yesu alikufa lakini si kwa Korona na wapo wengi walikufa kabla yake. Ni mjinga tu atamshauri mwenzie kuwa hata ukiweka milango kwenye nyumba yako wezi wataiba tu usijingize gharama za kijinga!
 
Ni maoni ya kitoto haya, kifo hakihusiani na Korona, Yesu alikufa lakini si kwa Korona na wapo wengi walikufa kabla yake. Ni mjinga tu atamshauri mwenzie kuwa hata ukiweka milango kwenye nyumba yako wezi wataiba tu usijingize gharama za kijinga!
Si ndio maana nikakwambia utakufa lakini si kwa corona?
 
Sukuma gang mkalime furu kwenu mlituharibia sana nchi shwainii
Unaonaje sukuma gang wanavyokomeshwa na mama?

Mama anafungua nchi,

Mama anaupiga mwingi

Mama anawakomesha mataga sukuma gang na kufuta legacy

Mama anarudisha hela mtaani ili sisi mabavicha tuwe tunaziokota

Chanjo milion 1 zimeisha na wanachi wana haha kuzitafuta zingine zije haraka

Magaidi sasa yanakamatwa yako jela

Bashiru na polepole wanakiona cha moto

Uchumi juu
.
Bidhaa bei chini

Kodi chini

Sukuma gang wakome kabisa
 
Gwajima ni mtovu wa nidhamu...na ana dharau kwa wanawake. Maneno ya hovyo hovyo anayoongea sasaiv asingemwambia magufuli
 
Mama keshastuka maana Ndugai anataka kumgombanisha akose kura 2025.
 
Yaani legacy ya upumbavu halafu inaungwa mkono na wananchi wengi!

Una maana taifa lina wapumbavu wengi!

Kuita watu wengi ni wapumbavu ndio upumbavu wenyewe!

Hoja yako haina mantiki yoyote!
Ni ukweli mchungu, lakini hakika Taifa lina wapumb.avu wengi kuliko werevu.

Hata marehemu, alifaidika sana na upumbavu wa walio wengi. Aliwadanganya wananchi kuwa ukuuaji wa uchumi ulikuwa umeongezeka wakati ulikuwa umeanguka. Ukweli ni kwamba ukuuaji wa uchumi ulikuwa unaanguka, ukuaaji wa uwekezaji ulikuwa unaanguka, ukuuaji wa utalii ulikuwa unazidi kuanguka, lakini wapumb.avu waliamini kuwa ukuaji wa uchumi ulikuwa unapaa.
 
Kwa hiyo unakubali kwamba mwendazake alikuwa na wafuasi wengi sana?
Wajinga wengi walimwamini. Alizuia kila chombo chenye uwezo wa kuwaelimisha wananchi ili aendelee kuwahadaa.
 
Muulize hiyo chanjo ukichanjwa huwezi ugua corona au ndo bado lazima uvae mibarakoa km kawa na kuugua corona kuko palepale .Mtu yeyote anae kimbilia kutukana huwa hana hoja.
Chanjo zipo miaka mingi. Hakuna wanaougua surua? Hakuna wanaougua kifua kikuu? Hakuna wanaougua tetekuwanga? Kwa wajinga wanaona Gwajina ana hoja sana. Lakini kwa wenye kuelewa, hoja za Gwajima ni upuuzi mtupu.
 
unachitaka kutuambia ni kuwa lile shinikizo la wanaharakati na wapinzani, la kudai serikali iwaokoe wananchi wake kwa kuleta chanjo, lilikuwa haliakisi matwakwa ya wananchi walio wengi????
 
Kwani mpaka sasa unajua kuwa zimetumika kiasi gani? Ufahamu kuwa zaidi ya zile milioni 1 kuna nyingine milioni 17.
 
Nyinyi wenye akili hebu tujibuni ukichanjwa chanjo huumwi corona na je nchi zinazo chanja mbona vifo bado viko vingi n wamechanjwa sasa kuna maana gani ya kuchanjwa kama bado nikichanjwa lazima nijikinge.
Acha uwongo.

Nchi gani iliyo na idadi kubwa ya waliochanjwa, halafu idadi ya vifo haijapungua? Maambukizi yapo lakini vifo vimepungua sana.

Msiwe mnamezeshwa ujinga, halafu nanyi mnaubeba kama ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…