Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Hali ukoje sasa hivi
Maji
Umeme
Mfumuko wa bei
Kupanda gharama za maisha
Dola
Ufisadi
Elimu
Maji
Umeme
Mfumuko wa bei
Kupanda gharama za maisha
Dola
Ufisadi
Elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe jamaa.Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.
Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.
Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.
Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.
Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Maskini wa akili wanamwona Paul Makonda kama mtu mwenye uwezo mkubwa wa uongozi na kwamba ana nia ya kuwatoa katika umaskini wao, tena wanafikiri anafaa kuwa rais!!!Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.
Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.
Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.
Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.
Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Umaskini wa akili ni mbaya sana.Maskini wa akili wanamwona Paul Makonda kama mtu mwenye uwezo mkubwa wa uongozi na kwamba ana nia ya kuwatoa katika umaskini wao, tena wanafikiri anafaa kuwa rais!!!
Hahaha unapambana na mifupa hahaha, pole. Dkt Magufuli ni jabali pamoja na kuwa alishafariki ila anawakereketa hahahaMtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.
Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.
Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.
Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.
Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Bashite ni kipimo cha ujinga wa uongozi wa juu wa nchi hii!Umaskini wa akili ni mbaya sana.
Eti leo hii Bashite anawakoromea viongozi. Anampa maagizo mpaka waziri mkuu.
Na kasema atampa maagizo Rais ili asiowapenda yeye (Bashite) watumbuliwe
Matapeli na majizi pia yalichukia uongozi wa Magufuli. Mamilioni ya Watanzania wanaona Magufuli alikuwa Rais Bora, iweje mpumbavu mmoja kama wewe uje na hoja za kijinga hivi. Who are you? Kilaza na mjinga mkubwa tu uliyekuwa tapeli au vyeti feki ndo unataka uaminishe watu ujinga wako? Stupid idiotMtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.
Furaha yake ni kuona tajiri anashuka sio yeye kupanda. Maskini wa akili na kipato waliufurahia sana utawala wa Magufuli maana walikuwa wanaamini matajiri wanakomeshwa na wataishi katika wimbi la ufukara kama wao kitu ambacho ni impossible.
Maskini ambaye mwingine hata cheti cha kidato cha 4 hana anapata raha akisikia kuwa boss ambaye ana PhD katumbuliwa, hajui kuwa huyu msomi bado ataendelea kutafuna Kodi zao mpaka afe.
Maskini wa akili na mali anaamini kila tajiri ni mwizi wa mali za umma.
Maskini wa akili na mali waliufurahia sana sakata la vyeti fake, baadaye zahanati zingine zikakosa wahudumu wakafia kwenye mabenchi. Kama mtu ana cheti cha taaluma na anafanya vizuri kulikuwa na ulazima wa cheti cha kidato cha nne? Magufuli aliwaweza sana maskini wa akili na mali.
Viwanda viliyumba na vingine kufungwa, kampuni nyingi viliyumba na zingine kufungwa masking wa akili na mali waliufurahia sana wakasahau kuwa huko sekta binafsi ndiko kunakotoa ustawi kwa wananchi.
Maskini wa akili na mali wanafurahi sana kumwona mtoto wa jirani mwenyewe degree au diploma hana kazi eti kwakuwa yeye watoto wake wote ni wavuta bange na wacheza singeli.
Magufuli aliua uchumi wa nyie majizi Sugu!Mtu mwenye akili ndogo, mwenye roho ya umaskini ni kama mchawi tu.

Kwahiyo kushughulikia watu wazembe na wezi haikuwa sahihi!? Kwamba hoja ni kushughulika na mifumo?Magufuli alikuwa anajua matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu ila tatizo lake ni alikuwa ana deal na ''dalili'' na siyo ''ugonjwa'' wenyewe. Hebu tuchukuwe kwa mfano ufisadi, uvivu na uzembe. Tukubali kuwa Tanzania ufisadi, uvivu na uzembe ni matatizo makubwa sana. Kosa alilokuwa anafanya Magufuli ni kushughulikia watu, tena mmoja mmoja, badala ya kurekebisha mifumo iliyokuwa inafanya watu wavutiwe kuwa mafisadi, wawe wazembe na wavivu. Hivyo basi alijikuta anahangaika kushughulikia watu, na hii ikafanya wengi kumuona kama anachukia matajiri. Ni kama maigizo anayofanya Makonda sasa hivi. Nchi haiendeshwi namna hii. Huwezi ku-deal na tatizo la mtu mmoja mmoja na ukafanikiwa kuleta mabadiliko. Nyumba yako ikiwa inaingiza mbu kwa wingi, utakuwa unapoteza muda kujaribu kuua mbu mmoja mmoja, unachotakiwa kufanya ni kuziba zile sehemu ambazo mbu wanaingilia.
Watu kama ninyi sijui hata kama mnaelewa mkisoma. We are talking about the main emphasis, the main goal. Kuhukumu ni kazi ya mahakama na kunatokana na kujenga mfumo mzuri. Ukimshughulikia mzembe bila kuweka mifumo sawa utakuwa umetatua tatizo? Ukijenga mfumo wazembe watashughulikiwa na zile mechanisms ulizoweka, badala ya kusubiri mpaka rais aende ku-deal na mwenyekiti wa kijiji!Kwahiyo kushughulikia watu wazembe na wezi haikuwa sahihi!? Kwamba hoja ni kushughulika na mifumo?
Hivi ingekuwa hoja ni Mifumo huko China watu wangenyongwa? Huko kwenu Uarabuni watu wangehukumiwa vifo??
Hopeless
Paragraph yako ya mwisho nimeielewa, kumbe kweli umasikini unatengenezwa kwa ubabe sana, Tatizo la umeme limekaa kimaksudi hivi! Kwa nini Bwawa la Mtera likose maji wakati mvua zimemeza nyumba na zimekata barabara, tena ndio liko njiani kuelekea Kihansi na Kidatu!Bila shaka wewe ni mwizi na mkwepa kodi, JPM aikuwa anaikomboa nchi hii kutoka katika lindi la umasikini wa kutengenezwa.
Leo hii kila kitu ovyo, umeme shida, maji shida, vitu bei juu. Ujinga ujinga tu.