Wananchi wenye uelewa mdogo hawataacha kumsifia Magufuli aliyeua uchumi wao

Hali ukoje sasa hivi
Maji
Umeme
Mfumuko wa bei
Kupanda gharama za maisha
Dola
Ufisadi
Elimu
 
wewe jamaa.

Unaota? Miaka mitatu sasa. Amka.
 
Maskini wa akili wanamwona Paul Makonda kama mtu mwenye uwezo mkubwa wa uongozi na kwamba ana nia ya kuwatoa katika umaskini wao, tena wanafikiri anafaa kuwa rais!!!
 
Maskini wa akili wanamwona Paul Makonda kama mtu mwenye uwezo mkubwa wa uongozi na kwamba ana nia ya kuwatoa katika umaskini wao, tena wanafikiri anafaa kuwa rais!!!
Umaskini wa akili ni mbaya sana.
Eti leo hii Bashite anawakoromea viongozi. Anampa maagizo mpaka waziri mkuu.
Na kasema atampa maagizo Rais ili asiowapenda yeye (Bashite) watumbuliwe
 
Hahaha unapambana na mifupa hahaha, pole. Dkt Magufuli ni jabali pamoja na kuwa alishafariki ila anawakereketa hahaha
 
Umaskini wa akili ni mbaya sana.
Eti leo hii Bashite anawakoromea viongozi. Anampa maagizo mpaka waziri mkuu.
Na kasema atampa maagizo Rais ili asiowapenda yeye (Bashite) watumbuliwe
Bashite ni kipimo cha ujinga wa uongozi wa juu wa nchi hii!
 
Matapeli na majizi pia yalichukia uongozi wa Magufuli. Mamilioni ya Watanzania wanaona Magufuli alikuwa Rais Bora, iweje mpumbavu mmoja kama wewe uje na hoja za kijinga hivi. Who are you? Kilaza na mjinga mkubwa tu uliyekuwa tapeli au vyeti feki ndo unataka uaminishe watu ujinga wako? Stupid idiot
 
Magufuli aliua uchumi wa nyie majizi Sugu!
Sisi masikini wa akili na mali tulimpenda sana Magufuli!!

Puumbavu
 
Kwahiyo kushughulikia watu wazembe na wezi haikuwa sahihi!? Kwamba hoja ni kushughulika na mifumo?

Hivi ingekuwa hoja ni Mifumo huko China watu wangenyongwa? Huko kwenu Uarabuni watu wangehukumiwa vifo??

Hopeless
 
Watu kama ninyi sijui hata kama mnaelewa mkisoma. We are talking about the main emphasis, the main goal. Kuhukumu ni kazi ya mahakama na kunatokana na kujenga mfumo mzuri. Ukimshughulikia mzembe bila kuweka mifumo sawa utakuwa umetatua tatizo? Ukijenga mfumo wazembe watashughulikiwa na zile mechanisms ulizoweka, badala ya kusubiri mpaka rais aende ku-deal na mwenyekiti wa kijiji!
 
Bila shaka wewe ni mwizi na mkwepa kodi, JPM aikuwa anaikomboa nchi hii kutoka katika lindi la umasikini wa kutengenezwa.

Leo hii kila kitu ovyo, umeme shida, maji shida, vitu bei juu. Ujinga ujinga tu.
Paragraph yako ya mwisho nimeielewa, kumbe kweli umasikini unatengenezwa kwa ubabe sana, Tatizo la umeme limekaa kimaksudi hivi! Kwa nini Bwawa la Mtera likose maji wakati mvua zimemeza nyumba na zimekata barabara, tena ndio liko njiani kuelekea Kihansi na Kidatu!
 
Mnaendelea kudhihirisha ujinga wenu kumuandama shujaa wa Africa.

Na bahati mbaya ni kakundi kadogo tu Ka watu wenye wivu na wezi ndo mnaumizwa na uongozi wa Uncle ambao ndiyo kipimo cha uongozi Africa kwa sasa na miaka 25 ijayo.

Watanzania wanamtaka huyohuyo mwizi anaeiba na kukumbuka watanzania wanataka:-
-Miundombinu
-Umeme
-Elimu
-Afya
-Maji
-Kutodhulumiwa ardhi zao
-Kupata huduma nzuri ofisi za umma n.k

Kaiba ila kaacha miradi mikubwa ambayo wengi walikuwa wanaiogopa. Watanzania wanataka wezi wa namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…