Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Wanandoa kununiana mwisho inatakiwa kuwa siku ngapi?

Mi ilikua siku mbili nikaona hasira hazipoi, nikafunga safari ya wiki moja, nikiwa huko mapenzi yakarudi. Nimerudi nyumbani hapa mahaba ndi ndi ndi.
Some times give yourselves a space to heal.
 
Kama usiku ukimshika kiuno na kumpapasa anaondoa mkono wako hataki umshike, bado hasira zipo. Kama hamuwezi kusuluhisha kwa kupeana utam, ni vizuri mkae chini muyajenge. Mnuno mwisho ni siku moja.
 
Back
Top Bottom