Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Ah Wapi! Hakuna kitu kama hicho, ndio ni mkataba wa kuishi pamoja na kutengeneza familia tu, hakuna kuaminiana wala hakuna kitu kinaitwa mapenzi, kuna kitu maslahi tu. Ndio yanayotufanya kua pamoja na maslahi yakiisha kila mmoja ataelekea upande wake.
Hiyo ni Kampuni sio Ndoa.