Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

Nina miaka 11 kwenye ndoa. Ndoa ni tofauti na imagination unazozifanya hapa jf
Tupe uzoefu mkuu, yani hatuwezi kukuacha umetuonjesha trela movie hutuoneshi wakati bando lipo.

Hebu funguka kwanza vijana wadogo wapate somo.

Enhee,

Ndoa kiuhalisi ikoje na hapa JF inaonekanaje?
 
Rule No. 1

Never trust anybody

Especially now days

I have her bank card and she trust me
 
Katika ndoa yangu, accounts zetu 3 ( mbili za mishahara zetu na moja ya development), mshahara wake tumeuchannel moja kwa moja kwenye devo so hatuutumii na hajaukopea, mshahara wangu ni kwa ajili ya matumizi ya mambo madogo madogo, lakini kama mwanamme natafuta zaidi kweny kazi ambazo anazijua( kazi za nje, seminar n.k) na zile asizozijua so hizo zote zinaingia kwenye devo na pia kama kuna mambo yangu ya ziada nafanya. Ikitokea ndugu zetu wanahitaji msaada,tunakubaliana kama si haraka tunawapa mwezi mmoja tunawatumia hela nzuri ya kuwasaidia, kwao natuma mimi na kwetu anatuma mke wangu. So, kila kitu tunakijadili, lakini pesa ya devo kwa namna yoyote haitoki kwa sababu ni ya kukamilisha miradi mikubwa. Kiujumla, mke wangu hatufichani na mara zote ananitanguliza mimi kuheshimu kama baba na mume wake.
 
Heshima Kwako Mkuu Robert Kwa Andiko Bora Na Ukwel Mchungu
 
Back
Top Bottom