Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.


Hiyo ni Kampuni sio Ndoa.
 
Watu wanaishi Kama housemates tu🤣🤣🤣 Mume anategea mke atunze nyumba, mke anategea mume Kama mlinzi, Yani Ile Bora nyumba ionekane ina mwanaume vibaka waogope🤣

Wengi ndio huishi hivyo.
Ila Kwa wale waliopenda kwelikweli(ambao ni wachache) hichi ninachoeleza ni kawaida na yapo mazito zaidi ya hiki
 

Watu wanawaita wasiooa wahuni lakini ukichunguza Kwa umakini hakuna Watu wahuni kama waliopo kwenye Ndoa.
Utapeli mtupu.
Mume Tapeli
MKE Tapeli.
Alafu walivyo wanafiki wanakuambia wao ni mwili mmoja. Utapeli mtupu!

Mambo wanayofanyiana Watu walioko kwenye Ndoa ni mara elfu ya ubaya ukilinganisha na waseja
 
Kivyao.

Ukianza kufuatilia sana ndoa za watu unaweza kuzushiwa una wivu, unataka kuolewa wewe.
 
Hata sheria za BENKI na mitandao ya simu.
Lakini Kwa upande wa Ndoa na mapenzi hakuna hiyo sheria.
Na ndio maana nimetumia terminology “Muhimu” kwa maana nothing is important all the time. Umuhimu ni relative terminology, inategemea na muda, sababu na muktadha unaozunguka kitu fulani. To be on safe side, kila mtu akae na passwords zake unless kuna umuhimu. Ya Mungu mengi, kesho utapigwa tukio na ukose la kufanya sababu sheria won't be on your side, weird times.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…