Hujawahi kupiga tuta lisilo na alama wewe. Ushapiga tuta kama mlima huku uko 160kph? Breaking hard unalitandika ukiwa 120kph kama wewe na gari hamjatulia lazima upate ajali.Chanzo cha ajali:
Watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, wakiendesha vyombo vya moto barabarani huwa hawaheshimu sheria za usalama barabarani.
Hii iwe fundisho kwa watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama.
R.I.P
VITS siyo tatizo. Na katika hili lazima nisimame kuitetea. Maana mimi ni balozi wa hiyari wa hizo gari.Inna lillah wainnaillay rajiun…..Vits
Kwahiyo mtu ukifa gesti huku umekamatia mzigo Mungu nayo kapanga?Hapo utasikia "mizimu" ya Kiyeyeu imewataka au walikiuka miiko ya ukoo.
Ilainafikirisha saana..
R.I.P wanandoa wapya hawajamaliza honey moon, ila Mungu ndio alichowapangia hiki.
Kabisa.Huyu Kamanda amezunguka sana kueleza sababu za ajali.
Aseme tu ukweli kuwa chanzo cha ajali ni Mwendokasi na uzembe wa Marehemu kutozingatia alama za Barabarani mpaka akawasababishia wenzake wa Basi ajali!!
Mbona ajali nyingine huwa hawaumi maneno?
Kuna matuta wameweka hapa club ya yanga juzi juzi, hayana alama yoyoye , siku moja nastuka tuta hili , bahati nilikuwa siko speedHujawahi kupiga tuta lisilo na alama wewe. Ushapiga tuta kama mlima huku uko 160kph? Breaking hard unalitandika ukiwa 120kph kama wewe na gari hamjatulia lazima upate ajali.
Duuh haya maisha acha tufurahie no one knows 2moro
Nimeviona hivyo vituta, vikali sanaKuna matuta wameweka hapa club ya yanga juzi juzi, hayana alama yoyoye , siku moja nastuka tuta hili , bahati nilikuwa siko speed
TANESCO walikuwa wamekwepesha kupitisha umeme kwenye makaburi ya Kiyeyeu pale Tanangozi. Miaka ya mwishoni mwa 2010 baadhi ya wana familia walipokea pesa kwa TANROADS halafu makaburi yakondolewa kienyeji. Kulikuwa sintofahamu kubwa katika familia zile. Wakati wa Nyerereyale makaburi hayakuguswaMwanamke anaitwa KIYEYEU halafu ajali wamepatia TANANGOZI!
waliosoma CUBA tu ndio wataelewa hapa
Aisee...daaa.RIP
Ni upi huo??Sasa turudi kwenye uzi pendwa wa tafsiri ya picha kwenye ulimwengu wa roho.
Mojawapo ya protocol ya msafara ni speedSiku ukikutana nao au wakiwa kwenye msafara utaniambia.
Gari zinakimbizwa utadhani waliopo wapo mbinguni tayari
TUTA KUBWA... Maana yake vits imeshindwa kuhimili ikapaa ikabidi mwana atanue tu kukwepa kuigonga gari ya mbele yake akakutana na Luwinzo coach ilioiva mbayaaChanzo cha ajali: TUTA
Nilishawahi kulitandika tuta nikiwa 110kph baada ya kuimaliza Wami thanks to ABS System gari ilipaa kwa several degrees nashukuru tu ilikuwa full mzigo.Hujawahi kupiga tuta lisilo na alama wewe. Ushapiga tuta kama mlima huku uko 160kph? Breaking hard unalitandika ukiwa 120kph kama wewe na gari hamjatulia lazima upate ajali.