Wanandoa wapya wafariki kwa ajali Iringa

Amesema miili ya askari hao imehifadhiwa Hospitali ya Mkoa wa Iringa na kesho Alhamisi, itasafirishwa kwenda Makongorosi, Mkoa wa Mbeya kwa maziko.
Wale wa Mikumi ni kutoka Mbeya na ni askari, hawa nao ni Mbeya na ni askari, Mbeya mmeanza madudu yenu huko
 
Pole yao
 
Ila hili vibe kwenye sherehe sijui wanalipataga wapi 😃
Rip makamanda
Vitu vikali vinakua KICHWANI from know where Mimi sinaga Hilo vibe yaani nijikute na cheza ivyo.
Siku ya send off yangu nilichekesha watu Ila kwenye harusi nilichangamka nikafukia mashino yotee
 
Nasikia wazee wa zamani walikuwa wanaogopa sana kusafiri kifamilia kwa sababu hizi hizi. Hata mimi naunga mkono, tupunguze kusafiri kifamilia kwa kutumia magari binafsi.

Mnajigawa mnapanda mabasi tofauti tofauti mana dunia imechafuka hii. Unaenda kijijini kwenu kwa private car kusalimia kwa lengo zuri, wakati wa kurud wanawategeshea ajali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…