Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Wapo watu wana hofu na wakiambiwa kujenga wanaamini lazima uwe na hela nyingi kumbe ukiamua lofoten hata kwa kidogo kinawezekana...hajafanya finishing hapo kwa hiyo gharama huyu Mchumi yupo sawa..Mm sijaielewa hiyo nyumba ukubwa wake.
Mwanaume/mwanaume unakuwaje na hofu na suala la ujenzi wakati unajenga polepole.?
Upo sahihi mkuuWapo watu wana hofu na wakiambiwa kujenga wanaamini lazima uwe na hela nyingi kumbe ukiamua lofoten hata kwa kidogo kinawezekana...hajafanya finishing hapo kwa hiyo gharama huyu Mchumi yupo sawa..
Bro sina muda mzuri wa kutoa mchanganuo ila hiyo nyumba nimeijenga kichumi na n c is bajeti niloitengeaTofali ngapi?
Bati ngapi?
Saruji mofuko mingapi?
Monday je?
Nimejenga sana tu, najua nisemacho.Ukiwa unafanya kitu na huna hela ya kutosha kisimamie vizur utajua tatizo wewe unapga gharama mpaka za mtu kukusimamia jitambue broo usibishe kwenye vitu hujawahi fanya
Kwamba Lindi ujenzi ni nafuu Sana?Itakua Lindi
Mwanaume hana hofu ya kujenga tu anatakiwa aendane na uchumi wake sasa wewe unachopinga hapo ni kipiMm sijaielewa hiyo nyumba ukubwa wake.
Mwanaume/mwanaume unakuwaje na hofu na suala la ujenzi wakati unajenga polepole.?
Baseline yako hiyo nyumba ni shNimejenga sana tu, najua nisemacho.
Hiyo nyumba bajeti yako ni kiasi gani!Nimejenga sana tu, najua nisemacho.
Niliiona huko Twitter ikabidi nicheke tuu.
Gharama ipi wakati tofauti yake na meupe Ni 50,000 kwa gage 30 max coverMabati ya mouth ni gharama mno
Labda kama fundi ni yeye mwenyewe, halafu msaidizi ni mdogo wake! Lakini bado, hiyo nyumba haiwezi kujengwa kwa milioni 6 ya madafu mpaka hapo ilipofikia.Uongo mkubwa huo.
Ndo mana nikakwambia wewe haupo kwenye kupunguza cost kazi yako hela kuishusha thaman na wakat itakugharimu baadaeGharama ipi wakati tofauti yake na meupe Ni 50,000 kwa gage 30 max cover
Bro huwezi among hyo nyumba mpaka inaishaLabda kama fundi ni yeye mwenyewe, halafu msaidizi ni mdogo wake! Lakini bado, hiyo nyumba haiwezi kujengwa kwa milioni 6 ya madafu mpaka hapo ilipofikia.
Hiyo nyumba ni ndogo, na pia haijaisha kwa 100%. Ila kuijenga mpaka hapo ilipofikia kwa milioni 6 pekee, aisee inahitaji uwe na moyo mwepesi sana kuamini.Bro huwezi among hyo nyumba mpaka inaisha