Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bandiko lako ni zuri nadhani ungetoa ufafanuzi mpana zaidi ili liweze kunafaisha watu wengiNipo mkoa wa pwani kisemvule
[emoji16][emoji16]hata kama ni lindi bado material mfano cement na bati vinafikirisha inabidi atusaidie hapaItakua Lindi
Tuifanye roughly estimation kwa bei ya material hapa nilipoKwani hapo kimefanyika nini zaidi ya mawe msingi,kujenga nyumba yenyewe,madirisha na kupiga plasta pamoja na hizo nondo za madirishani ndio wewe hayo madirisha wanakwambia milioni tatu na hela unatoa...
Hongera.
Daah kwa hiyo wote tunanunua bei yako hiyo ya Materials...Tuifanye roughly estimation kwa bei ya material hapa nilipo
1. Tofali pc1500 @1000=1500000
2. Cement bg 50@15000=750000
3. Nondo mm10pc12@18000=216000
4. Nondo mm6@12000=72000
5.binding wire kg5@3000=15000
6. Mchanga lori5@150000=750000
6.Jabali(mawe)lori7@120000=840000
7.kokoto Lori2@300000=600000
8. Milango chuma2@190000=380000
9.dirisha chumba pc5@150000=750000
10.bati gg30 pc60@25000=1500000
11. Mbao za kench na bodi pc150@8000=1200000
12. Misumari ya mbao kg15@3000=45000
13. Misumari bati kg8@6000=48000
Mzee hapo unapeleka watu Chaka labda ilikuwa nyuma ya 2014
Chaka kubwa sana nilishamwambia, hata hiyo estimate yako umemfavour sana.Tuifanye roughly estimation kwa bei ya material hapa nilipo
1. Tofali pc1500 @1000=1500000
2. Cement bg 50@15000=750000
3. Nondo mm10pc12@18000=216000
4. Nondo mm6@12000=72000
5.binding wire kg5@3000=15000
6. Mchanga lori5@150000=750000
6.Jabali(mawe)lori7@120000=840000
7.kokoto Lori2@300000=600000
8. Milango chuma2@190000=380000
9.dirisha chumba pc5@150000=750000
10.bati gg30 pc60@25000=1500000
11. Mbao za kench na bodi pc150@8000=1200000
12. Misumari ya mbao kg15@3000=45000
13. Misumari bati kg8@6000=48000
Mzee hapo unapeleka watu Chaka labda ilikuwa nyuma ya 2014
Haiwezekani aslani.Labda kama fundi ni yeye mwenyewe, halafu msaidizi ni mdogo wake! Lakini bado, hiyo nyumba haiwezi kujengwa kwa milioni 6 ya madafu mpaka hapo ilipofikia.
Hapo ukute mfuko mmoja wa cement umejenga tofali 150!Na wewe usitulazimishe uongo, structure tu hiyo nyumba kabla ya hiyo 6m hela inakuwa imekata.
Tuifanye roughly estimation kwa bei ya material hapa nilipo
1. Tofali pc1500 @1000=1500000
2. Cement bg 50@15000=750000
3. Nondo mm10pc12@18000=216000
4. Nondo mm6@12000=72000
5.binding wire kg5@3000=15000
6. Mchanga lori5@150000=750000
6.Jabali(mawe)lori7@120000=840000
7.kokoto Lori2@300000=600000
8. Milango chuma2@190000=380000
9.dirisha chumba pc5@150000=750000
10.bati gg30 pc60@25000=1500000
11. Mbao za kench na bodi pc150@8000=1200000
12. Misumari ya mbao kg15@3000=45000
13. Misumari bati kg8@6000=48000
Mzee hapo unapeleka watu Chaka
Uzuri ni kwamba ujenzi najua sana ingawaje si fundi na nyumba si chini ya nne nimepewa nisimamie ujenzi wake. Haijalishi upo mkoa gani ila kwa hizo gharama hata kama ni fundi Bado haitoshi labda uwe hanjaMimi 6m naona katumia nyingi kwa hiyo nyumba nyi mnaona chache daah...kupanga matofali mabichi na plaster na madirisha ya nondo mlango nimeona ni wa kawaida mnataka kusema pana 50m hapo madarali bhana...hiyo nyumba bila finishing
Daah kwa hiyo wote tunanunua bei yako hiyo ya Materials...
Yaani unataka ukisema tu niseme ndiyo..!?Bro sina muda mzuri wa kutoa mchanganuo ila hiyo nyumba nimeijenga kichumi na n c is bajeti niloitengea