Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata kama ila ni zaidi ya milion 6. Hayo mabati na mbao alizotumia kuezeka na ela ya ufundi vinakula zaidi ya milioni 3, sasa hlo pagale na msingi inawezekanaje alijenge kwa milion 3 iliyobakiKwani hapo kimefanyika nini zaidi ya mawe msingi,kujenga nyumba yenyewe,madirisha na kupiga plasta pamoja na hizo nondo za madirishani ndio wewe hayo madirisha wanakwambia milioni tatu na hela unatoa...
Naunga mkono hojaKama umefyatua tofali wewe mwenyewe, ukajenga mwenyewe kwa nguvu zako, mchanga ukachimba hapohapo, cement ukanunua chini ya elfu 10, basi inaweza kuwa kweli ni kwa gharama hiyo. Kinyume na hapo, haiwezekani!
Swahiba hapa tumepangwa 😀
Hahahaaa! Swahiba sema mleta uzi amekuwa mkali sana.Swahiba hapa tumepangwa 😀
Wapi nimeandika kubwa napinga,just kutaka kujua ukubwa wa hiyo nyumba.Mwanaume hana hofu ya kujenga tu anatakiwa aendane na uchumi wake sasa wewe unachopinga hapo ni kipi
Yan hapo kwa muonekano wa ile itakua vyumba 3 na sebule,nyumba kama ile kuanzia gharama za uchimbaji msingi hadi mkanda kajibana sana mln 3,bado boma,kupaua hata kama ni bati za kawaida gauge 32,plasta,wiring,madirisha n.k,kwa kweli mln 6 hapana 😀Hahahaaa! Swahiba sema mleta uzi amekuwa mkali sana.
Angedadavua hata kwa uchache hiyo milioni sita yake sababu mwisho wa siku anaeza fanya watu waamini ujenzi ni kitu rahisi hali ambayo sio kweli.
Hiyo nyumba ni kweli haizidi 6m. Mimi nimejenga nyumba ya vyumba vitatu 4×3m, sebule 5×4m, jiko 2.5×4m, store 2×2m, wc 1.2×3m, kupaua bati 70, grill 8 za 5×6m kwa 10m. Na nimeijenga klm mwezi wa 8/22Mkuu hata kama ila ni zaidi ya milion 6. Hayo mabati na mbao alizotumia kuezeka na ela ya ufundi vinakula zaidi ya milioni 3, sasa hlo pagale na msingi inawezekanaje alijenge kwa milion 3 iliyobaki
Ujenzi tu ndio 6mil ukiwa na kiwanja. ..km huna kiwanja andaa kuanzia 15milNipo mkoa wa pwani kisemvule
mkuu, kibanda changu ( size kinafanana na icho muundo tofauti kidogo) wakati ipo hatua hiyo iligonga hapo hapo 6m give or take ( mwaka jana mwezi wa 3 )Mkuu hata kama ila ni zaidi ya milion 6. Hayo mabati na mbao alizotumia kuezeka na ela ya ufundi vinakula zaidi ya milioni 3, sasa hlo pagale na msingi inawezekanaje alijenge kwa milion 3 iliyobaki
Mkuu ina sqm.mkuu, kibanda changu ( size kinafanana na icho muundo tofauti kidogo) wakati ipo hatua hiyo iligonga hapo hapo 6m give or take ( mwaka jana mwezi wa 3 )
nakumbuka upauaji kila kitu mpaka ufundi ilikuja 2.7m ( bati la kawaida geji 30 Alaf )
trick ni kuachana na ujenzi wa whatsapp na kufata materials mwenyewe, mtoa mada yupo sahihi kabisa na hiyo bei
So jumla ilikuwa na sqm ngapi mkuu? Kwakweli mnanistaajabishaHiyo nyumba ni kweli haizidi 6m. Mimi nimejenga nyumba ya vyumba vitatu 4×3m, sebule 5×4m, jiko 2.5×4m, store 2×2m, wc 1.2×3m, kupaua bati 70, grill 8 za 5×6m kwa 10m. Na nimeijenga klm mwezi wa 8/22
kama ya OP hapo juu, maana design ya paa ni hivyo hivyo, chini ndiyo kuna utafauti,Mkuu ina sqm.
Labda mkuu, dar au wapi? Mimi msingi tu umekula 4.85 na badi tu zitanila kama 4.5 ml hapo bila ufundi wa la mbao sema ina sqm 132. Ndio maana nikaulizakama ya OP hapo juu, maana design ya paa ni hivyo hivyo, chini ndiyo kuna utafauti,
vyumba vitatu(4x3), sebule(5x4), jiko dogo, yaani haina tofauti na ya Algore hapo juu