Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Hiyo usafiri alibeba kichwani yeye mwenyewe au viwanda vya materials zote vipo hapo alipojenga hiyo nyumba?
1Tofali laini 1100, kwa shs @900 990,000.00 2Sement shs 1,000,000.00 3Mabati 1,200,000.00 4Mbao 600,000.00 5Nondo 400,000.00 6Kokoto za lenta 210,000.00 7Ufundi na kibarua ni yeye mwenyewe 800,000.00 8Mengineyo 800,000.00 Jumla 6000,000.00
Huenda ana Jenga kwenye kiwanja Cha familia au ambacho alishanunua kitambo.Afu kiwanja ni sehemu ya hiyo 6M au?
Sasa hiyo 6M anawaambia hata wasio na viwanja..!! Yaani mtu atadhani 6M, kiwanja kimo ndaniHuenda ana Jenga kwenye kiwanja Cha familia au ambacho alishanunua kitambo.
Ila hiyo gharama ya milioni 6 kwa huo ujenzi is not realistic.
Ngoja AsemeLocation
bubu...
Mkuu bado hiyo nyumba inachuma kabisa angalia madilishani na mlango.inawezekana kama Kiwanja kilikua cha urithi, bati ulipewa zawadi kwenye harusi, mbao uliiba kwenye ajali ya semi trailer za njombe, shimo la choo hukuchimba uliunganishia kwa jirani, cement uliiba kwenye mradi wa kijiji, mchanga ulikwangua kwangua ufukweni ukabeba na ndoo had saiti , hiyo 6M ukanunulia matofali na hela ya kumlipa fundi tu
materials na labor itakuwa bure , hiyo 6ml alipewa kununulia kiwanja tu.Umeleta picha bila maelezo ya ukubwa wa nyumba tukueleweje?
Materials ulipewa bure?
mlongo tuNyumba si inaonekana lengo lake ni kuondoa hofu kwa wengine maana mwingine hapo angeongeza Sifuri za kutosha tuu...
Tofali 1100 hapana labda kuanzia 1500Hiyo usafiri alibeba kichwani yeye mwenyewe au viwanda vya materials zote vipo hapo alipojenga hiyo nyumba?
Maji je?
Hiyo mengineyo haiwezi cover vyote usivyoviandika hapo
Hako kapicha ka hiyo nyumba kanapostiwa FB kwenye group la mambo ya ujenzi na watu kibao..
Muongo huyo hajui hata kiwanja hanaAcha nikutumie 15m unijengee 2 fasta
[emoji1787]Mkuu umetupiga kamba hapo...
Naona umehamia kabisa...tupe mchanganuo wa choo tu mpaka kuanza kukitumia au umeweka pipa?
Najua anatufunga kambaMuongo huyo hajui hata kiwanja hana
Inawezekana, kama mchanga anapata jiraniUongo mkubwa huo.