Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

Wanangu wa CODE!!+ Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!! Watu wapo kwenye feature!!

Wanangu wa CODE!!+
Kuna habari kubwa sana, itatokea nchini hivi punde, zingatia neno habari kubwa sana!!!

Watu wapo kwenye feature!!

UKO SAHIHI, nilikuwa nafuatilia utabiri wa hali ya hewa; nikaona hivi karibuni MVUA za Elnino zitakuwa nyingi; hasa mikoa ya kaskazini magharibi (kigoma, ikifuatiwa na mikoa ya kaskazini (mwanza, Mara), na mikoa kaskazini mashariki (Arusha na kilimanjaro) na mikoa ya mashariki (Dar na Pwani), huku Sumbawanga, Rukwa shinyanga na simiyu napo kukiwa na mvua za juu ya wastani.
Hii itakuwa ni habari kubwa sana hata hivyo inaonekana mikoa ya kusini haita adhirika sana
 
Eti wanangu wa code we code unazijua!!?
Code ikiandikwa hapa hata usome mara kumi hauwezi elewa sasa umesikia baba ako kasema kitu sebleni kwenu unajikuta na wewe umetoa code 😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom