little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,465
- 4,862
Si ndiyo hapo anataka attention zisizo na ishu au kitokee kitu aje atuambie nilisema mapema bora yule Britannica walau huwa ananiconvice na anasema nini ishu.Eti wanangu wa code we code unazijua!!?
Code ikiandikwa hapa hata usome mara kumi hauwezi elewa sasa umesikia baba ako kasema kitu sebleni kwenu unajikuta na wewe umetoa code 😂😂😂😂😂😂😂