hawa ni washenzi hawafai kuwa viongozi kwa sababu wana tamaa na ni rahisi kusaliti wananchi wakihongwa kama yuda iskariote watauza nchi hawa wahuni wasio na msimamo.Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Hakuna shida ila Mfumo umewaingilia fikiria kumkamata Mwenyekiti Wa chama kipindi hiki nyeti hajamaliza hata siku 60 timing mbaya nategemea nini kwenye chama kuelekea uchaguzi watu wanachungulia fursa za baadaye siasa ni bidhaa. Mbowe naye hatoi ushirikiiano kuhalalisha kuwa walipo hawawezi. mchanganyiko mkaliHuo ni uongo!
Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Ni kweli CDM inayumbishwa kwa makusudi na chama tawala ila kama pia inakutana na mivutano na mivurugano ya ndani kwa ndani ambayo haipewi kipaumbele cha suluhisho. Itakuwaje miezi sita mbeleni?Hakuna shida ila Mfumo umewaingilia fikiris kumksmata Mwenyekiti Wa chama kipindi hiki nyeti hajamaliza hata siku 60 timing mbaya nuategemea nini kwenye chama kuelekea uchaguzi watu wanachungulia fursa siasa ni bidhaa
πππππNaanzaje kuiacha 200M ati kisa uzalendo wa kuipigania chadema!!! Uzalendo Bongo! WE KUWEZA!
Hebu wanipe hizo hela mie niache kula ugali kwa kisamvu na kachumbari uchwara.
Cc: Tlaatlaah Extrovert Nyani Ngabu Lamomy Mbaga Jr Poor Brain cocastic Kapeace binti kiziwi secretarybird Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Masikini vibwengo kama Lucas Mwashambwa wapo tu kupiga mapambio watu toka Chadema wanakuja kulamba teuzi, this is not fair at all.Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Kwa maslahi ya taifa nakataaUkiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Yule wakina Nchimbai na Biteko wamempiga miti kisha wakamuacha kama alivyo sasa hivi kamezeeka kweli kweli na ndiyo kameonyesha kabisa sura ya Kitusi.Wajifunze kwa Upendo Peneza. Sijui walimtupa wapi yule dada.
Kama hujui hii biashara kaa kimya, pesa ni mbaya. Madoga analia baada ya kusimamiwa kwenye press aongee wanacho taka.Huo ni uongo!
Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Chadema imepoteza kina kaburu, zito, nasari, masinji, etc lakini bado ipo gadoHuo ni uongo!
Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Usishangae mkeka kabla ya uchaguzi, mrema ni DC wa rorya.Wanaenda kujaza nafasi zintakazo achwa wazi kama Mama alivyowaambia wa sasa watoe taarifa mapema...
Cc: Mahondaw
Huo ni uongo!
Imagine kumpoteza Aisha Madoga, halafu baada ya kujitathmini tunakaza mafuvu na kulaumu mafisiemu pekee, mimi pia siwapendi kijani ila naona kabisa kuna shida mahali ndani ya chama ila inafumbiwa macho.
Shemeji jamani, kisamvu ni mbogaaa, unawaza kinyeo tu shemeji jamaniKisamvu kimefata nn kwenye comment yako....
Mbona una mambo ya ajabu ww na juzi tu nimeskia umeokoka
Vishu MtataShemeji jamani, kisamvu ni mbogaaa, unawaza kinyeo tu shemeji jamani
Chawa kaziniNaanzaje kuiacha 200M ati kisa uzalendo wa kuipigania chadema!!! Uzalendo Bongo! WE KUWEZA!
Hebu wanipe hizo hela mie niache kula ugali kwa kisamvu na kachumbari uchwara.
Cc: Tlaatlaah Extrovert Nyani Ngabu Lamomy Mbaga Jr Poor Brain cocastic Kapeace binti kiziwi secretarybird Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Hivi jamaa wamemdump?Kama mchungaji musigwa wameshamdamp mapema hivi hata hawa itakuwa hivyo tyu.
Itaje shida husikaHuo ni uongo!