Wanaobisha kuwa wahuni hawaja print pesa, tazama hapa

Wanaobisha kuwa wahuni hawaja print pesa, tazama hapa

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA
Yaani hizi zinafaa kufundishia watoto kuheshabu
Zile accenting na descending numbers
Hii sio poa
1761228016155.jpg
1761228011576.jpg
1761228005661.jpg
1761227996328.jpg
1761227985880.jpg
1761227978622.jpg
1761227971090.jpg
1761227961170.jpg
1761227951585.jpg
1761227941492.jpg
 
Hapa napo unaweza kua na mtazamo tofauti ila kwa sasa wananchi wana hasira balaa. Huenda kwel wameprint ila huo sio ushahidi wa kujinasibu nao.

Kama ushawahi kwenda bank ili upewe cash mfano 10M itawekwa 1M mafungu 10 kila fungu utakuta hizo namba zimefuatana no 1 hadi 100.
 
Wazuri alisema wana zaidi ya miaka miwili hawajaingiza pesa mpya kwenye mzunguko
 
Back
Top Bottom