Kama mhudumu wa ATM kajaza bundle mpya ya noti zilizotoka direct strong room lazima hizo noti zitoke kwa mtiririko wa namba kama zilivyopangwa toka siku zimekuwa sealed huko kiwandani.
Kwahiyo mkuu acha ujuaji kwa mambo usiyokuwa na uelewa nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.