Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Labda atokee mchumi mmoja anieleweshe kuhusu hili
Wachumi hatubishani hivi; chagua variables zako vizuri usiweke general sample. Any way poa mzeeHuelewi lugha rahisi? Unasema January ilikua 2014 ilikua 1700, waati hapo hapo December 2014 ilikua 1740. Unatolea mfano wa January 2015 ili kuonyesha ilipanda wakati hiuyo 1700 ilipanda tokea 2014, au 2014 kulikua na uchaguzi?
Pia hiyo 1700 imefikaje? So ilipanda kamailivyopanda 2015?
View attachment 3492609
USD itakuwa na fluctuations pia: kuna unacertainities nyingi sana kwenye global trade, impact ya vita zinazoendea pia kutokutabitika kwa Trump na sera zake. Usitegemee USD itaappreceate tu consinstently...Tutarajie nini kwa mwaka ujao na usd inazid kuimarika na hali ya dunia kwa sasa Usd inakuwa na high demands au ndo tunaisave nchi kwa kuweka rasilimali bondi , nchi ingefocus na dhahabu tu tungwkuwa mbali sana
Na wewe unaamini saini yake na jina lake imefuata nini kwenye pesa au wameziweka kimiujiza.Wazuri alisema wana zaidi ya miaka miwili hawajaingiza pesa mpya kwenye mzunguko
Dc Magoti keshawapa onyo kali kuwa atawashushia kipigo mpaka muwe walemavu kama yeye.Hatari hii
Tunatoka 29
OooohPoint yako ni nini labda?
Jeshi tu limeshindwa kumdhibiti mama, itawezekanaje wana uchumi mkuu?Wana-uchumi wako wapi kwann wanaruhusu ili litokee?
Mwigulu kasema hawajaprint fedha miaka miwiliZa Mwigulu zilitoka wapi??
Sio ATM tu hata kwa mawakala wa mihamala mtaani sasa hivi ukitoa hela ni noti mpya tupuMbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?
Uwa hamzingatii?
Au mnapita tu na upepo wa Mange 🤔
Anyway
Hivi hua wanafanyaje mpaka shillingi inakua na nguvu dhidi ya dollar? Kuna kipindi black market ilifika 1$=2830Tzs na madukani walikua wanagombania dollar gafla upepo ukabadilika saiv hata kwa 2450 hawataki na madukani dollar hawapokei.Sahihi kabisa; kipindi cha uchaguzi ilitarajiwa USD ingekuw juu sana; lakini TZS imefanya vizuri...