City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Unaandika uongo. Wakati wa uchaguzi 210 shillingi ilikua stableUchumi unaendeshwa kwa assumptions; underlying assumption ni kuwa kipindi cha uchaguzi local currencies huwa hazifanyi vizuri against USD kwa sababu mbalimbali ikiwemo investors kusikilizia. Kufanya vizuri hakumaanishi hiyo assumption inaondoka....
Kwa uchaguzi huu ambao una speculations na uncertainity nyingi ungetarajia TZS ifanye vibaya sana. Lakini iko imara. Hiki ni kiashiria kuwa uchumi pia uko stable sana
Wakati wa uchaguzi 2015 shillingi ilikua pia stable
Wakati wa uchaguzi 2020 shillingi pia ilikua stable.
Sio kweli wakati wa uchaguzi shillingi huporomoka.