Wanaobisha kuwa wahuni hawaja print pesa, tazama hapa

Wanaobisha kuwa wahuni hawaja print pesa, tazama hapa

Hizo mpya zinatoka wapi wakati miaka miwili fedha haijapritiwa Kwa mujibu wa Waziri

Fedha iliyoingizwa kwenye mzunguko miaka miwili inaweza kuwa mpya lakini isiwe kwenye series
Mi suala la hela kuingizwa kwenye mzunguko silipingi na hata sina uelewa nalo zaidi naliona humu nachosema mimi huu mfuatano wa hizo no mi nimeanza kuuona tangu zamani nikienda kuchukuaa hela bank napewa hela hizo no zimefatana hivo hvo
 
When you get cash from a bank, it might come in sequential serial numbers because the money is often organized and distributed from a central source, which is the bank's vault. These bundles of bills are typically kept in the same order they were originally printed, with serial numbers running consecutively.

  • Centralized distribution:
    Money is sorted and stored in large quantities in the bank's vault. The bills are kept in the order they were originally received.

  • Bundling:
    When cash is given out, tellers often give you bundles of bills that were stored together. Since these bundles are kept in order, the serial numbers on the bills will be consecutive.

  • Bank-to-bank transfers:
    Banks receive new currency from a central bank, like the Federal Reserve, which keeps the bills in sequential order to make them easier to track and manage
 
Mange anapewa taarifa na wanaofanya kazi BOT, amefichua mengi ya risiti za TRA na mengine mengi, hii issue naona wana print kweli.

Uthibitisho mwingine ni inflation ya hatari inayofuatia..
 
Mbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?

Uwa hamzingatii?
Au mnapita tu na upepo wa Mange 🤔

Anyway
Naona umeshtukia matango pori🤣
 
Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA
Yaani hizi zinafaa kufundishia watoto kuheshabu
Zile accenting na descending numbers
Hii sio poa
View attachment 3492449View attachment 3492450View attachment 3492452View attachment 3492453View attachment 3492454View attachment 3492455View attachment 3492456View attachment 3492457View attachment 3492458View attachment 3492459
Wewe bwege utakufa kwa chuki ya umaskini!! Kwa hiyo hujawahi kupata noti mpya? Hiyo ndiyo kawaida noti mpya lazima ziwe kwenye serial numbers.

Nyie ndiyo mnataka muamdamane, kumbe hata hoja hamna kichwani
 
Hizo mpya zinatoka wapi wakati miaka miwili fedha haijapritiwa Kwa mujibu wa Waziri

Fedha iliyoingizwa kwenye mzunguko miaka miwili inaweza kuwa mpya lakini isiwe kwenye series
Kama hujawahi kukamata fedha mpya kaa kimya, usionyeshe ushamba wako
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hii mada ikipata wataalamu wa uchumi wakaja hapa wakatoa darasa kwa maana ya elimu hata konda wa daladala au winga akaelewa itakuwa ni taarifa nzuri sana kwa jamii.

Binafsi sina elimu hiyo labda niingie chimbo, niitafute na kuisoma kutoka vyanzo sahihi kisha kuleta taarifa kamili hapa ambapo wengi wa umma watakuwa wamepata elimu ni nini hufanyika.

Kwa maana ya kwamba, serikali chini ya wizara ya fedha pamoja na BOT huwa wanachukua hatua gani ndo waone sasa kuna uhitaji wa kuingiza noti na safaru mpya sokoni ama kwenye mzunguko wa hela, pia ni wakati gani pesa zinazorudi BOT kama noti chakavu huwa zinaharibiwa na kuondolewa kwenye soko/mzunguko.

Ushawahi kujiuliza, mara ya mwisho kuona noti ya shilingi mia 5 kwenye mzunguko ni lini? Je BOT walikuja kuzichukua kwenye pochi za wananchi? La hasha. Pesa inazunguka na namna inazunguka inajikuta imerudi ilikotoka ikiwa chakavu kiasi hakuna mtumiaji anayetaka kukaa nayo. Hapo wanafungulia batch mpya iingie kwenye mzunguko kupitia mabenki.

Mtoa mada umenipa chachu ya kwenda kusoma na kuitafuta hii elimu, nimeiona tamu kwangu. Na taarifa nyingine huwa zinakuwa wazi tuu kwenye websites /tovuti za wizara au benki kuu.

Pia fedha zetu huwa zinatengenezwa nchi gani na kila noti ama sarafu moja gharama/thamani yake ni shilingi ngapi... kwa maana ya noti ya elfu kumi moja kwenda kuiprinti huko inakoprintiwa serikali inalipa shilingi ngapi?

Kuna baadhi ya nchi hutoa elimu namna ya kutunza fedha ili noti na sarafu zisichakae haraka ili kupunguza gharama ya kuprinti hela mara kwa mara. Kuna nchi ukikunja kunja noti haipokelewi kwenye mzunguko utakufa nayo, ila kwetu pesa zinafichwa kwenye soksi na boksa ili mtu asiibiwe zikitoka hapo zinamajasho ya utoko. Hata kama noti ilikiwa mpya, mpya mwezi tuu inakuwa ishachakaa hadi unaionea kinyaa kuishika....

Wacha nikatafute taarifa za hii elimu....😊.
 
Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini?pesa laZima ziprintiwe ili mikutano ya kampeni ijae
Kumbe ndo maana vijana wameamua kuita pesa yetu ati ni SASAMPA
Yaani hizi zinafaa kufundishia watoto kuheshabu
Zile accenting na descending numbers
Hii sio poa
View attachment 3492449View attachment 3492450View attachment 3492452View attachment 3492453View attachment 3492454View attachment 3492455View attachment 3492456View attachment 3492457View attachment 3492458View attachment 3492459
Pesa ikiprintiwa kuna shida gani?
 
Mwigulu kakanusha hilo la pesa kuchapishwa, kasema ni mchakato mrefu huchukua mpaka miaka miwili na zaidi ndio pesa zichapishwe kama kuna hali mbaya ya uchumi
Pamoja na kwamba sina uhakika(solid proofs) kuhusu kuchapishwa pesa lakini kuamini kauli za mtu caliber ya Mwigulu ni symptom mojawapo ya kichaa kilichokithiri, Mwigulu mwizi, fisadi na chawa wa bi Kijakazi aongee ukweli? Kwanza cabinet yote na makatibu wa wizara zote hakuna anayefanyia kazi interests za nchi na wananchi. Yaani mipango ni kuiba, kufisadi, kuwekeza overseas na kuua kila anayejaribu kudadisi, kuuliza au kukemea.
 
Hii mada ikipata wataalamu wa uchumi akaja hapa akatoa darasa kwa maana ya elimu hata konda wa daladala au winga akaelewa itakuwa ni taarifa nzuri sana kwa jamii.

Binafsi sina elimu jiyo labda niingie chimbo, niitafute na kuisoma kutoka vyanzo sahihi kisha kuleta taarifa kamili hapa ambapo wengi wa umma watakuwa wamepata elimu ni nini hufanyika.

Kwa maana ya kwamba, serikali chini ya wizard ya fedha pamoja na BOT huwa wanachukua hatua gani ndo waone sasa kuna uhitaji wa kuingiza noti na safaru mpya sokoni ama kwenye mzunguko wa hela, pia ni wakati gani pesa zinazorudi BOT kama noti chakavu huwa zinaharibiwa na kuondolewa kwenye soko.

Ushawahi kujiuliza, mara ya mwisho kuona noti ya shilingi mia 5 kwenye mzunguko ni lini? Je BOT walikuja kuichukua kwenye pochi za wananchi? La hasha. Pesa inazunguka na namna inazunguka inajikuta imerudi ilikotoka ikiwa chakavu kiasi hakuna mtumiaji anayetaka kukaa nayo. Hapo wanafungulia batch mpya iingie kwenye mzunguko kupitia mabenki.

Mtoa mada umenipa chachu ya kwenda kusoma na kuitafuta hii elimu, nimeiona tamu kwangu. Na taarifa nyingine huwa zinakuwa wazi tuu kwenye websites /tovuti za wizara au benki kuu.

Pia fedha zetu huwa zinatengenezwa nchi gani na kila noti ama safari moja gharama/thamani yake ni shilingi ngapi... kwa maana ya noti ya elfu kumi moja kwenda kuiprinti huko inakoprintiwa serikali inalipa shilingi ngapi?

Kuna baadhi ya nchi hutoa elimu namna ya kutunza fedha ili noti na safaru zisichakae haraka ili kupunguza gharama ya kuprinti hela mara kwa mara. Kuna nchi ukikunja kunja noti haipokelewi kwenye mzunguko utakufa nayo, ila kwetu pesa zinafichwa kwenye soksi na boksa ili mtu asiibiwe zikitoka hapo zinamajasho ya utoko. Hata kama motu mpya mwezi tuu ishachakaa....

Wacha nikatafute taarifa za hii elimu....😊.
Kuna uzi humu uliwekwa. Namna ya pesa zetu zinavotengenezwa na nchi inayotengeneza
 
Sikuusoma huo uzi.
Ukikutana nao tafadhali uweke hapa tuelimike.
Ama kama unamkumbuka aliyeweka huo uzi mtag ili atuwekee hapa huo uzi.

Elimu kama hizi za kuongeza maarifa ni nzuri kwa afaya ya akili.
Nimeweza hivi. Hope itasaidia na utaelewa
Screenshot_20251023_195947_Samsung Internet.jpg
 
Kivipi wakati karibuni tu ndio tumeanza kutumia hela mpya zilosainiwa na Nchemba na Gavana wa sasa? Haifiki hata mwaka. Tulianza na kubadilisha matoleo ya zamani sambamba na kuanza kutumika noti mpya. Na huko kuprint inawezekana zilishaprintiwa zamani ila sasa ndio zipo kwenye matumizi
Mimi kama nakuwa na hela mpya nikitaka kumpa mtu kiasi kadhaa wala sihesabu naangalia namba tu mana nna uhakika zipo serial
View attachment 3492483
Hakika umenena vyema... Ni kawaida sana...
 
Back
Top Bottom