BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Ngoja nitafute printer niingie mzigoni na mimi!
Wanafuata upepo tu, mimi najua hata ukipewa pesa mpya benki, namba zake zinakua zimefuatana.Mbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?
Uwa hamzingatii?
Au mnapita tu na upepo wa Mange 🤔
Anyway
anakuambia hali mbaya ya uchumi kama ile wakati wa vita vya kageraKukiwa na hali mbaya ya uchumi wanachapisha fedha?
Mkuu mi sio mtaalamu sana wa kwenye mambo hayo ya fedha lakini mi tangu zamani naonaga hivo kama ukienda bank wakikupa 1M angalia zile 10000 zinakua zimefatana kwa mtiririko huo no 1 hadi 100.Wazuri alisema wana zaidi ya miaka miwili hawajaingiza pesa mpya kwenye mzunguko
Serikali walisema wao hawaja print pesa Kwa zaidi ya miaka miwiliWanafuata upepo tu, mimi najua hata ukipewa pesa mpya benki, namba zake zinakua zimefuatana.
Pesa zinaingizwa kwenye mzunguko in batches, haimaanishi zikiprintiwa zote zinawekwa kwenye mzunguko kwa wakati mmoja na hata benki zikipokea, pia wanaingiza pesa mpya kwenye mzunguko wao in batches.Serikali walisema wao hawaja print pesa Kwa zaidi ya miaka miwili
Sasa Toka lini pesa iliyo katika mzunguko zikakutana benk Kwa kufuatana namba
Duuuh kwamba notes 100 zifuatane Kwa namba?Mkuu mi sio mtaalamu sana wa kwenye mambo hayo ya fedha lakini mi tangu zamani naonaga hivo kama ukienda bank wakikupa 1M angalia zile 10000 zinakua zimefatana kwa mtiririko huo no 1 hadi 100.
Kama wamekupa 500000 ya elfu tano tano utakutana zimefatana kwa number inaanza no 1 hadi 100.
Ni sawa number zinafuatana Kama zinaingia kwenye mzunguko kwa mara ya kwanza, hizo zinaonyesha mali mpya imeingia sokoni (printing imeongezeka)Mbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?
Uwa hamzingatii?
Au mnapita tu na upepo wa Mange 🤔
Anyway
Miaka miwili fedha ziko kwenye mzunguko ila zinatoka Kwa kufuatanaPoint yako ni nini labda?
Unaweza usiwe ushahidi wa Moja Kwa Moja ila ni dalili kile kinachosemwaHuo ndo ushahidi ?
Mkuu serious mi na miaka mingi naona hichi kituDuuuh kwamba notes 100 zifuatane Kwa namba?
Hiyo itatokea Kwa nadra kama pesa ndo imetoka BOT kwenda bank, ila kumbuka Mwigulu alisema pesa ipo kwenye circulation Kwa miaka miwili sasa
Pengine miaka miwili yote fedha zilikuwa hazijaingizwa kwenye mzungukoWazuri alisema wana zaidi ya miaka miwili hawajaingiza pesa mpya kwenye mzunguko
Mpya zinatoka wapiMbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?
Uwa hamzingatii?
Au mnapita tu na upepo wa Mange 🤔
Anyway
Kivipi wakati karibuni tu ndio tumeanza kutumia hela mpya zilosainiwa na Nchemba na Gavana wa sasa? Haifiki hata mwaka. Tulianza na kubadilisha matoleo ya zamani sambamba na kuanza kutumika noti mpya. Na huko kuprint inawezekana zilishaprintiwa zamani ila sasa ndio zipo kwenye matumiziDuuuh kwamba notes 100 zifuatane Kwa namba?
Hiyo itatokea Kwa nadra kama pesa ndo imetoka BOT kwenda bank, ila kumbuka Mwigulu alisema pesa ipo kwenye circulation Kwa miaka miwili sasa
Hizo mpya zinatoka wapi wakati miaka miwili fedha haijapritiwa Kwa mujibu wa WaziriHapa napo unaweza kua na mtazamo tofauti ila kwa sasa wananchi wana hasira balaa. Huenda kwel wameprint ila huo sio ushahidi wa kujinasibu nao.
Kama ushawahi kwenda bank ili upewe cash mfano 10M itawekwa 1M mafungu 10 kila fungu utakuta hizo namba zimefuatana no 1 hadi 100.
Zinatoka BOTMpya zinatoka wapi
Wakati Waziri kasema hawajatoa mpya miaka miwili ??
Waziri kasema miaka miwili hakuna fedha mpya au wewe ni chawa kuliko waziriKivipi wakati karibuni tu ndio tumeanza kutumia hela mpya zilosainiwa na Nchemba na Gavana wa sasa? Haifiki hata mwaka. Tulianza na kubadilisha matoleo ya zamani sambamba na kuanza kutumika noti mpya. Na huko kuprint inawezekana zilishaprintiwa zamani ila sasa ndio zipo kwenye matumizi
Mimi kama nakuwa na hela mpya nikitaka kumpa mtu kiasi kadhaa wala sihesabu naangalia namba tu mana nna uhakika zipo serial
View attachment 3492483
Miaka miwili iliyopita ndo walioprint wakaingiza kwenye mzungukoZinatoka BOT
Point yako ni nini labda?