Mbona hii ni kawaida ukitoa hela ATM zikatoka mpya mpya uwa zinatoka kwenye mpangilio wa numbers?Pesa zinaprinitiwa kama magazeti ya sani, ukitoka ATM namba zinafuatana Toka lini
Kukiwa na hali mbaya ya uchumi wanachapisha fedha?Mwigulu kakanusha hilo la pesa kuchapishwa, kasema ni mchakato mrefu huchukua mpaka miaka miwili na zaidi ndio pesa zichapishwe kama kuna hali mbaya ya uchumi
Wakileta ujuaji si wanatekwa tuu? Au wewe hujuiWana-uchumi wako wapi kwann wanaruhusu ili litokee?
Wazuri alisema wana zaidi ya miaka miwili hawajaingiza pesa mpya kwenye mzungukoHapa napo unaweza kua na mtazamo tofauti ila kwa sasa wananchi wana hasira balaa. Huenda kwel wameprint ila huo sio ushahidi wa kujinasibu nao.
Kama ushawahi kwenda bank ili upewe cash mfano 10M itawekwa 1M mafungu 10 kila fungu utakuta hizo namba zimefuatana no 1 hadi 100.
kwa kweli, sauti ya mama mtoto...lazima anyong'onyee😁Wakileta ujuaji si wanatekwa tuu? Au wewe hujui