Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,793 Reaction score 6,569 Oct 27, 2025 #122 Kama mhudumu wa ATM kajaza bundle mpya ya noti zilizotoka direct strong room lazima hizo noti zitoke kwa mtiririko wa namba kama zilivyopangwa toka siku zimekuwa sealed huko kiwandani. Kwahiyo mkuu acha ujuaji kwa mambo usiyokuwa na uelewa nayo.
Kama mhudumu wa ATM kajaza bundle mpya ya noti zilizotoka direct strong room lazima hizo noti zitoke kwa mtiririko wa namba kama zilivyopangwa toka siku zimekuwa sealed huko kiwandani. Kwahiyo mkuu acha ujuaji kwa mambo usiyokuwa na uelewa nayo.