min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Unajua kitu inaitwa kisusio?Hao mababu waliopewa maagizo na Mizimu ya nakabula Yao Ili kufanya hayo kama sehemu za Ibada za kimila.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua kitu inaitwa kisusio?Hao mababu waliopewa maagizo na Mizimu ya nakabula Yao Ili kufanya hayo kama sehemu za Ibada za kimila.
Umenikumbusha,Afadhali hiyo damu kuliko booster za ARV
Ndio,Unajua kitu inaitwa kisusio?
Amini kwanza Mungu yupo ndipo nikuthibitishie!Thibitisha kwanza uwepo wa Mungu , sio damu tu hata nyama situmii, ila haina uhusiano na imani ni hobi yangu tu.
Mwanzo 9:4.Ndio
Nataka kujua kuamini tu haitoshi, je unajua kutokunywa damu ni utamaduni tu na mila za watu wamashariki ya kati?Amini kwanza Mungu yupo ndipo nikuthibitishie!
Jamaa yangu ni mfugaji kuku mkubwa lakini hali nyama yake wala mayaiUmenikumbusha,
Kuna Jirani alipoona kuku wake wamezeeka, hawatagi tena,
Alienda nunua hiyo booster, kuku walirudi kutaga na alipiga pesa mingi akawa anajisifia,
Sasa walaji chips mayai kwanini Roho za USHOGA na usagaji zisiwaingie!
Kwamba ukimlisha kuku Sumu, Kisha ukamchinja kuku na kula nyama yake na vilivyo ndani,Sasa hapo anayekula damu mbichi ni wewe au kuku? Unalishwaje damu mbichi hapo? Pia naomba kasome kwenye Biblia waraka wa mtume Paulo kwa Waebrania naamini utajifunza kitu kuhusu vyakula kwa Mkristo!!!
Hiyo kitu babu zetu walitumia na walifika mpaka miaka 100 na zaidi bibi yangu mpaka leo anatumia ana 107Ndio,
Nilisoma Moshi vijijini kibosho.
Kwamba ukila nyama ya binadamu haibadili chochote kwenye uhusiano wako na Mungu?Kutokula chakula fulani hakuwezi kukufanya kuwa mwenye haki mbele za Mungu.
Kula chakula fulani hakuwezi kukupotezea cheo chako kama mwana wa Mungu
Adam aliishi miaka mia Tisa tisini.Hiyo kitu babu zetu walitumia na walifika mpaka miaka 100 na zaidi bibi yangu mpaka leo anatumia ana 107
Kutokula Damu ni katazo la Mungu.Nataka kujua kuamini tu haitoshi, je unajua kutokunywa damu ni utamaduni tu na mila za watu wamashariki ya kati?
Huu ni kati ya ujinga mnapenda kuaminishana humo makanisani inawezekana bibi yangu ana maisha mazuri kuliko ya wewe unaesema analipa uovu, kwa hiyo hawa walokole wanapita kila siku apeche alolo hawanakitu wanaomba mpaka pesa ya kula baada ya kutuhubiria wao wanalipa uovu upiAdam aliishi miaka mia Tisa tisini.
Bibi Yako anachelewa kufa labda sababu Bado hajamaliza kulipa UOVU alioutenda, maana Si Kila aishiye miaka mingi ni baraka, wengine ni LAANA wanaishi sana Ili wateseke na kulipia, mfano mzuri ni Caini aliyemuua Habili alitangatanga muda mrefu pasipo kufa.
Vitabu vya dini vyote asili yake ni mashariki ya kati ,zipo mila nyingi za kuchinja za hiyo jamii ila hata wewe unachagua za kufauata tuKutokula Damu ni katazo la Mungu.
Hapa sijaandika habari za Mila na desturi za watu wa middle east.
Nami nimesema Inawezekana,Huu ni kati ya ujinga mnapenda kuaminishana humo makanisani inawezekana bibi yangu ana maisha mazuri kuliko ya wewe unaesema analipa uovu, kwa hiyo hawa walokole wanapita kila siki apeche alolo hawanakitu wanaomba mpaka pesa ya kula baada ya kutuhubiria wao wanalipa uovu upi
Unazidi kutaja mambo ambayo hauwezi kuya thibitisha zaidi ya kubuni tu.Nami nimesema Inawezekana,
HOJA hapo ni kuwa,
Si Kila anaishi miaka mingi ni baraka no!!
Yesu aliishi duniani miaka 33 tu akiwa na mwili huu.
Wachawi wengi huchekeweshewa kifo Ili walipe UOVU wao.
Na sijasema bibi Yako ni MMOJA wao, yaezakuwa ni mtu Mwema mwenye uzee utokanao na baraka.
Usinielewe vibaya🙏
Mungu alimkataza Adam kula Damu ya mnyama bustani ya Eden Kwa kuongea nae live,Vitabu vya dini vyote asili yake ni mashariki ya kati ,zipo mila nyingi za kuchinja za hiyo jamii ila hata wewe unachagua za kufauata tu