Wanaochanganya Damu mbichi ya n'gombe kwenye vyakula vya kuku wana nia ya kutufarakanisha na Mungu

Mungu alimkataza Adam kula Damu ya mnyama bustani ya Eden Kwa kuongea nae live,

Hakumsomea kwenye kitabu. Hivyo Ujue Mungu ni halisi, huongea live, Si katika neno lake pekee.

Umeelewa?
Thibitisha kuwa unalosema ni kweli na sio imani tu.? Hivi huwa mnasoma hata theologia kweli na historia au mnaibukia kwenye ulokole? Ndio maana nikuzungumza na mapadri wengi nawaona wapo smart sana kwenye kufahamu wanachokiamini🤔
 
Mimi Huwa nazungumza na Mungu na kusikia sauti yake.

Nalo unataka uthibitisho?
 
Ndio useme sasa kwa uthibitisho sio uropoke tu ili watu waamini , nataka kujua .
Kukuthibitishia Hilo ni shart ukubali kuregister uwe familia ya Wana wa Mungu waishio duniani.
 
Acheni ujinga
Suala la vitoweo ni la kitamaduni. Asili ya waafrika koo nyingi zinakula kitimoto na Kila aina ya KASONGO, halikadhalika damu ya wanyama hunywewa mbichi kabisa. Haya msmila ya kiarabu na Kiyahudi mlioletewa nayo dini ndio yanawadanganya suala la haramu
Mada inaongelea katazo la Mungu Kwa mwanadamu asile Damu ya mnyama.

Mila hazijadiliwi hapa.
 
Nikupe tafsiri ndogo ya andiko lako , binafsi nimesoma falsafa na TaariMungu kwa kiasi fulani nang’amua yaguatayo!..
👉🏾sheria ya kutokula damu inahusiana na heshima kwa uhai, kwani damu inatambuliwa kama chanzo cha maisha, na ni ya Mungu. Hii ilitolewa kwa Waisraeli kama amri ya kuepuka uchafu wa kiroho na kumheshimu Mungu. REF :Mambo ya Walawi 17:11 na kuendelea

👉🏾Hata hivyo, katika Agano Jipya, damu ya Yesu inahusishwa na wokovu, na ina maana ya agano jipya la neema. Kwa hivyo, muktadha wa kula damu unahusisha zaidi maadili ya kiroho na uhusiano wa watu na Mungu kuliko matumizi ya chakula cha kimwili. REJEA Yohana 6:53-56 na Mathayo 26:28
👉🏾binafsi naona kula damu kuna faida kama vile kutoa madini ya chuma, vitamini B12, na protini muhimu kwa uzalishaji wa seli nyekundu za damu. Hata hivyo, kuna hatari za maambukizi ya magonjwa, sumu za kemikali, na mzigo kwa figo na ini. Hivyo, kula damu inapaswa kufanywa kwa tahadhari na usafi ili kuepuka matatizo ya kiafya.
Umefafanua vizuri sana asante
 
Kwamba ukila nyama ya binadamu haibadili chochote kwenye uhusiano wako na Mungu?

Au ukila vyakula vilivyotolewa sadaka Kwa miungu mingine vya makafara, hutogombana na Roho mtakatifu ndani Yako?

Unaelewa maandiko Kweli?
Wewe ndio huelewi maandiko, chakula haijawahi kuwa tiketi ama kikwazo cha kuhusiana na Mungu
 
Aisee
Salaam, shalom!

Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani ya Damu ya m yama, mna uhai. ( Mwanzo 9:4).

Sasa Kwa kuwa shetani ni baba wa Hila, baada ya kuona wengi wameacha kula Damu ya mnyama, amegeuza Mpango, hivi sasa vyakula vya kuku vinachanganywa na damu wakileta sababu uchwara za kuwa Damu inaongeza Kasi ya ukuaji nk nk kumbe lao Moja, ni kutulisha Damu indirect, tukila kuku aliyekula Damu nasi tupatwe na adhabu ya Mungu Kwa kutotii.

Ushauri: Wafugaji tengenezeni vyakula vya kuku ninyi wenyewe mkiepuka kuweka au kuchanganya Damu kwenye vyakula vitumikavyo Kwa kuwapa mifugo kama kuku nk nk.

Karibuni 🙏
Hata ww ukiwa na desturi ya kunywa damu ya ng'ombe kwanza unaongeza uhai na pili unakuwa haraka sana
 
Salaam, shalom!

Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani ya Damu ya m yama, mna uhai. ( Mwanzo 9:4).

Sasa Kwa kuwa shetani ni baba wa Hila, baada ya kuona wengi wameacha kula Damu ya mnyama, amegeuza Mpango, hivi sasa vyakula vya kuku vinachanganywa na damu wakileta sababu uchwara za kuwa Damu inaongeza Kasi ya ukuaji nk nk kumbe lao Moja, ni kutulisha Damu indirect, tukila kuku aliyekula Damu nasi tupatwe na adhabu ya Mungu Kwa kutotii.

Ushauri: Wafugaji tengenezeni vyakula vya kuku ninyi wenyewe mkiepuka kuweka au kuchanganya Damu kwenye vyakula vitumikavyo Kwa kuwapa mifugo kama kuku nk nk.

Karibuni 🙏
Damu ni protein kama ilivyo nyama na huwezi kuepuka kula damu hata kidogo ulapo nyama! Kumbe utagundua kuwa katazo la damu halimaanishi katazo la kula damu, ila katazo la kuchezea uhai au kuharibu uhai. Jiepushe na damu inamaanisha jiepushe na umwagaji damu, tena sio damu za mbuzi bali damu za watu wasio na hatia. Kuna mambo mengi tu watu hawawezi kupata tafsiri sahihi na huishia kujichanganya sana. Suala la pombe ni hivyo hivyo.
 
Salaam, shalom!

Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani ya Damu ya m yama, mna uhai. ( Mwanzo 9:4).

Sasa Kwa kuwa shetani ni baba wa Hila, baada ya kuona wengi wameacha kula Damu ya mnyama, amegeuza Mpango, hivi sasa vyakula vya kuku vinachanganywa na damu wakileta sababu uchwara za kuwa Damu inaongeza Kasi ya ukuaji nk nk kumbe lao Moja, ni kutulisha Damu indirect, tukila kuku aliyekula Damu nasi tupatwe na adhabu ya Mungu Kwa kutotii.

Ushauri: Wafugaji tengenezeni vyakula vya kuku ninyi wenyewe mkiepuka kuweka au kuchanganya Damu kwenye vyakula vitumikavyo Kwa kuwapa mifugo kama kuku nk nk.

Karibuni 🙏
Dah! Dunia ina maajabu yake kwa kweli. Kwahiyo wewe unakula hicho chakula cha kuku🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Jf imekosa heshima kabisa.
 
Back
Top Bottom