Wanaochanganya Damu mbichi ya n'gombe kwenye vyakula vya kuku wana nia ya kutufarakanisha na Mungu

Mungu alimkataza Adam kula Damu ya mnyama bustani ya Eden Kwa kuongea nae live,

Hakumsomea kwenye kitabu. Hivyo Ujue Mungu ni halisi, huongea live, Si katika neno lake pekee.

Umeelewa?
Thibitisha kuwa unalosema ni kweli na sio imani tu.? Hivi huwa mnasoma hata theologia kweli na historia au mnaibukia kwenye ulokole? Ndio maana nikuzungumza na mapadri wengi nawaona wapo smart sana kwenye kufahamu wanachokiamini🤔
 
Thibitisha kuwa unalosema ni kweli na sio imani tu.? Hivi huwa mnasoma hata theologia kweli na historia au mnaibukia kwenye ulokole? Ndio maana nikuzungumza na mapadri wengi nawaona wapo smart sana kwenye kufahamu wanachokiamini🤔
Mimi Huwa nazungumza na Mungu na kusikia sauti yake.

Nalo unataka uthibitisho?
 
Ndio useme sasa kwa uthibitisho sio uropoke tu ili watu waamini , nataka kujua .
Kukuthibitishia Hilo ni shart ukubali kuregister uwe familia ya Wana wa Mungu waishio duniani.
 
Mada inaongelea katazo la Mungu Kwa mwanadamu asile Damu ya mnyama.

Mila hazijadiliwi hapa.
 
Umefafanua vizuri sana asante
 
Kwamba ukila nyama ya binadamu haibadili chochote kwenye uhusiano wako na Mungu?

Au ukila vyakula vilivyotolewa sadaka Kwa miungu mingine vya makafara, hutogombana na Roho mtakatifu ndani Yako?

Unaelewa maandiko Kweli?
Wewe ndio huelewi maandiko, chakula haijawahi kuwa tiketi ama kikwazo cha kuhusiana na Mungu
 
Aisee
Hata ww ukiwa na desturi ya kunywa damu ya ng'ombe kwanza unaongeza uhai na pili unakuwa haraka sana
 
Damu ni protein kama ilivyo nyama na huwezi kuepuka kula damu hata kidogo ulapo nyama! Kumbe utagundua kuwa katazo la damu halimaanishi katazo la kula damu, ila katazo la kuchezea uhai au kuharibu uhai. Jiepushe na damu inamaanisha jiepushe na umwagaji damu, tena sio damu za mbuzi bali damu za watu wasio na hatia. Kuna mambo mengi tu watu hawawezi kupata tafsiri sahihi na huishia kujichanganya sana. Suala la pombe ni hivyo hivyo.
 
Dah! Dunia ina maajabu yake kwa kweli. Kwahiyo wewe unakula hicho chakula cha kuku🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Jf imekosa heshima kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…